kiwatengu mimi sio miss bana mie ni bibi, labda mkifanya shindano la kutafuta bibi bomba ntashiriki.
Hata huo ushiriki wa miss JF uliofanyika kwanza sikuusikia wala kumfahamu, nashangaa hapa natajwa niliyeshiriki......
Jambo zuri big up.
Vigezo vya kuwa miss ni vipi? Hadi sisi wabibi tunashiriki? Mie takuwa muhasibu😉
Tatizo vigezo na Masharti lazima vizingatiwe
Hata yeye ni mume wa mtu mwee
Teh hamnaga kura 2, utadataje sasaKwani kigezo ni kuwaje? Kama ni kuvaa wigh wamekukosaaa...
Kigezo ni kuwa mke, ke......
Mimi kura yangu ipo hivi..
I'm indifference kati ya Heaven Sent na Kasinde bibikipenzi...my sugar mummy
Sasa mkuu kiwatengu nitaruhusiwa kupiga kura mbili?
Licheki ha haaa linawaza pesa.......
Miss u,
Shem darling upo? Unapotea sana bwana hadi nakumiss weeeeh hadi najikuta sikumiss tena!!
Yaani 99% ya huu ubongo unawaza hicho kitu aisee.
Shem mwaka 2016... usiwaze pesa...
Shem ni hizi shughuli za mwisho wa mwaka.....daah si unajua sisi wauza viwaro ndio muda wa kazi huu...
Kaka mtumishi naomba kiwalo kimoja cha thikukuu
Wewe kaka mtumishi hiyo bei ndo unayouziaga golini? Ni nguo ya aina gani hiyo?Naashukuru kama utaniungishaa...
Kiwaro kimoja 3500/=
Price ni kwenye perfect competition.
Wewe kaka mtumishi hiyo bei ndo unayouziaga golini? Ni nguo ya aina gani hiyo?
Aah kumbe unamwaga chini, basi ngoja tutakuja na atotoVipi kwni kubwa saana?
Ujue mtumishi nauza zile za kumwaga chini....nzuri saana utazipenda.
Tena nimefungua bello jipyaa kutoka huko uturuki.
Karibu.
Kwani kigezo ni kuwaje? Kama ni kuvaa wigh wamekukosaaa...
Kigezo ni kuwa mke, ke......
Mimi kura yangu ipo hivi..
I'm indifference kati ya Heaven Sent na Kasinde bibikipenzi...my sugar mummy
Sasa mkuu kiwatengu nitaruhusiwa kupiga kura mbili?
Teh kumbe wazee hatutakiwi kushiriki kasie? Basi me na wewe tujitolee tu kuburudisha live na ekotite siku ya fainaliWewee Yerooo weewee............ Subhaiii............. upooooo
Hujamsoma kiwatengu hapo juu? Mie sitakiwi kushiriki ..........
Waliowahi kushiriki wasishiriki tena!
CC; Khantwe, Honey Faith, atoto, 'Valentina' miss chagga, cute b, Kasinde, janeth1....
Hivyo kura yako mpe Heaven Sent 100%
Halafu shindano ni la ma miss........... Kasie ni bibi bin ajuza sasa wewe ukinipigia kura halafu kura yako ikawa moja tuu halafu nikashinda nikitokea pale jukwaani na kupewa zawadi si ntatupiwa chupa na mashabiki.......!!! maana ni kizee kweli kweli japo babo nakomaa kuukeea uzee looh