Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wôte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
😀😀Usiwasikilize Hawa hat hamna jipya mm ukianzisha kupiga kura za kupika nitaandamna usiponiweka ila mamiss mm sipo kaka robert

😃😃

Sifa Mojawapo ya Mwanamke mwenye mvuto lazima ajue madikodiko.

Ngoja sitakawia kuleta mpishi bora JF.
Ni muhimu kuandaa biashara yako Watu wataanza Kutoa oda.
 
Mpo salama Wakuu!

Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.

Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.

1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.

VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.

2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.

3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊

Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Bila tupicha picha hamna atakaye okota kura yangu.
 
Kuna Pisi inajiita Ms R na BICHWA KOMWE umewasahau
 
Li bro limoja linaitwa BICHWA KOMWE - halipo kwenye list. Lenyewe halijifichi kabisa kuwa ni li bro tofauti na lile liwinga la kariakoo Lamomy linajifanya lisister du
Tayari ushapata joto unataka mjegeje ukuparue.. 😹😹

Em punguza miwasho, maisha JF bila kunitaja mumeo hayaendi?? Mi wewe sikutaki una sura baya paka mkorogo kwanza 😂
 
ngoja niendelee kupoza koo wakati nasubiri results
Screenshot_20241027-191418~2.jpg
 
Professor Natafuta Ajira ana safar ndefu sana

Lambastic kafukuswii punieees in Andrew Kibes voice 😂😂
 
Back
Top Bottom