Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapUnamaanisha nipitie ule Uzi wa selfika na JF
Mbona Nifah HAYUPO hapo kwenye orodha?Mpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.
VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.
2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.
3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊
Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
😂 bc sw kwa iyo JF kuna pisi za kwendaaaa?Mkuu mtu hawezi kuficha uhalisia wake kwa muda mrefu.
Atapretend yeye Ni fulani ila kadri siku zinavyosonga uhalisia wake utaanza kuwa dhahiri.
IDs zilizotajwa hapo juu zote Ni za kike hilo halina ubishi.
Evelyn Salt mtata, you have my vote.Watu wanachukulia mambo ya humu serious aaaaahhh kmamamaeeee.....
Hata Mimi I will not cast a voteHapana asiniweke waliokuwepo wanatosha tuvote tu
Hii haina mjadalaNipo shogaangu nimerudi, kura yangu unayo na kombe lazima uchukue sisi wachambuzi tulishalisema hili mapemaaaa 😘😘😘
Nkamu Saint Anne njoo huku tumpigie kura mahi wetu kapeace 😹😹😹
Babu Grahams njoo upige kura bibi yuko nominated 😜
Ni kweliJamani iilitakiwa kila jukwaa litoe miss wao halafu ndio wadhindanishwe…. Sisi jukwaa la stress free tuna uzi wetu pendwa wa selfika na miss wetu wa muda wote shangazi yupo na nna uhakika hiki kinyang’anyiro hakuna anayemfikia 😹😹😹😹
Si eti Nkamu Saint Anne 🤣😹😹
Ila Sultan MackJoe Khalifa 😅😅😅😅😅 mbona maandamano. Ahsante MkuuRobert Heriel Mtibeli kama Bantu Lady dada wa taifa ayumo naitisha maandamano.
Nimeshangaa sana mtu wa maana kabisa Bantu lady kaachwaRobert Heriel Mtibeli kama Bantu Lady dada wa taifa ayumo naitisha maandamano.
Si unajua tena sisi watu wa Tarime upendo daimaBando la wiki Umetisha 🥰🥰🥰🥰 hutaki Mkurya wako, abaki nyuma. Upendo wa dhati, thanks Mkuu.

Mmejuaje hao ni WANAWAKE..Mpo salama Wakuu!