Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wôte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
Mpo salama Wakuu!

Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.

Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.

1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.

VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.

2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.

3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊

Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Bichwa komwe awe mrembo mashuhuri wa week.
 
wote vijana hapo, hata miandiko yao tu inaonyesha, unajua kwa mwandiko unaweza kujua huyu mtu ni wa namna gani, sura umbo na rangi unaweza kukisia hata usipopatia ila unaweza kwa asilimia kadhaa kuwa karibu na ukweli
KIJANA WA KIKE UWEZ MKUTA INTERNATIONAL FORUM ANACHAMBUA AD ZA RUSSIA NA HYPERSONIC MISSILES ZA IRAN, USDANGANYKE NA MIANDKO NA WENGNE WANAUME HAPO PIA WANAJFANYA MABINT
 
Mpo salama Wakuu!

Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.

Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.

1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.

VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.

2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.

3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊

Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Oya mzazi hapa mwanangu umenikumbusha wakati Niko Chuo 😂nilichukua Namba ya demu Facebook bas Sauti yake mtoto ilikua kali kichizi oya babu siku nakutananae live nilikimbia mzee
 
Back
Top Bottom