Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wôte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
Hivi hili shindano lipo?? Hebu acheni masihara basi .. wengine hata visogo tuu hamvijui huo urembo vipi....au ni ze wey mnasoma mwandiko wa mtu hapa Jeifu...😀😀😀😀
Hapo labda sisi wa kule selfika naweza kupiga kura
Bantu Lady
Kapeace
To yeye hao nimeshawaona japo nusu sura...ni warembo inlcuding me...😀😄😄
Mi nimeshtuka na hizi habari za urembo, hata huko selfika hamna uhakika km ndo wahusika wa kwenye picha, mi kwanza ni msela flani hivi,

Napoishi jirani nyumba ya tatu kuna wadada 2 matomboy ukiwaona ni wanaumeee na bangi wanapuliza sasa watu wajichanganye
 
AAahhh hamna bana...sema ni kweli huwezi kumjua mtu simply kupitia avatar na mwandiko..
 
Mpo salama Wakuu!

Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.

Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.

1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi
4. Kapeace
5. Mamndenyi
6. Evelyn Salt
7. loviesundy
8. To yeye
9. Kalpana
10. Numbisa.

VIGEZO
1. Hisia zako hasa (schema) yàani ubongoni mwako unahisi ni mzuri hata kama hujamwona.

2. Michango Yake inafurahisha na kukufanya uone uwèpo wake JF unakupa Raha.

3. Unahisi anatabia Njema hata kama yeye mwenyewe kiuhalisia huenda ni kichomi😊😊

Hutaki Kúpiga Kura pita kushoto.
Weka picha zao,sio kuuziana mbuzi kwenye gunia.
 
Hivi hili shindano lipo?? Hebu acheni masihara basi .. wengine hata visogo tuu hamvijui huo urembo vipi....au ni ze wey mnasoma mwandiko wa mtu hapa Jeifu...😀😀😀😀
Hapo labda sisi wa kule selfika naweza kupiga kura
Bantu Lady
Kapeace
To yeye hao nimeshawaona japo nusu sura...ni warembo inlcuding me...😀😄😄
Namimi nimewaona nyinyi watatu hapo mliotajwa kwenye hili shindano. Hawajakosea, ni vifaa haswa halafu akili kubwa. Kusiwe na mshindi mmoja, nitashindwa piga kura wote mnafaa 🥰
Kalpana
Kapeace
To yeye
 
Back
Top Bottom