Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

hapana ,japo nilisex na mwanaume ambae nampenda for money ila hakunipa hata mia ya nauli na sikuwa na nauli nikatembea kwa mguu masaa mawili na jua kali.plus papuchi yangu ilivotamu na nzuri nilimchukia vibaya mno .sipendi hata kumsikia
Haya mambo ni adimu kuyasikia popote!
Why ulimuuzi,what happened?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ndio mana mi pia napenda kuingia nikiwa nishamaliza vishughuli vyangu mana uteja wa jf haujawahi muacha mtu salama.

Unaweza jikuta story zimenoga huku shughuli nazo zinasubiri basi hapo ni lazima kimoja kiharibike.

Pole sana my dear.
Asanteh mpz twende huko sasa
 
Nakupenda sana pia kipenzi changu twinnie...alafu ndio naona hii post sasa hivi eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…