Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

nipo cool na jamii yangu,nashiriakiana na jamii yangu kjwenye mambo yote muhimu,misiba,sherehe ,kutembelea wagonjwa n.k mimi ni mpole flani japo sio saana pia ni mkarimu kwa kiasi flani .mimi ni mtu wa kawaida kwa kifupi naishi kwa kufata maadili ya kitanzania kama nilivolelewa na wazazi wangu.nadhani kwa jamii inayonizunguka sina tabia mbaya maana hata kama nikisema nipige tukio huwa naenda kupiga mtaa wa mia nane huko.sina tabia chafu hata kidogo kwa jamii
Hongera sana kama ndio hivyo
 
Hii interview ilikuwa tamu sana maana ni mwendo wa maswali na majibu papo kwa hapo
Walioharibu ni wale wa kuwekeana siti walipofika mpangilio mzima ukaharibika interview ikageuka kuwa kijiwe cha soga
Interview nyingine DJ Sepetu fanya kama ya leo unaanza moja kwa moja wakuitana wakistuka interview imeisha.Hongera Joseverest imeitendea haki hii interview
Anyway ni mtazamo tu wapendwa msijenge chuki

Shukrani sana mkuu na nimeifurahia interview ya leo
 
Kwanini umemuingilia bila kusubiri amalize.. ndio uulize mengine!?
Kwa sababu hataki tuulize maswali..kila maswali yeye tu aulize?? Ndio maana imebidi niulize halafu baadae ukiuliza swali lako la msingi unaambiwa limeshajibiwa tayari kwa hiyo unakuwa discouraged..

Hata hivyo sikuwa na nia ya kumuharibia kwa maana Mhusika anajibu maswali papo hapo
 
Yaani mimi kila kitu nachukulia serious.

Nimeamini kati ya uliyosema hapa leo. Karibia 90% inatuambia wewe ni nani. Usiniambie ulikuwa unatania hapa.


So mimi nafurahi kukufahamu dada yangu.
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Nakazia tu.
 
ila kuna jambo huwa linanishangaza shogaa kuna wanaume ni wazuri,warefuu yaani wamejazia mwili wa kiume kabisa ila wana vibamia hatare .shida ni nini? hormone au vilikatwa?
Huo utafiti uliofanya kwa kuchukua sample ya wanaume wangapi? Kutoka sehemu zipi?
 
Leo mmeniangusha mjue. Inakuwaje wote tunakuwa busy kukanda unga tunasahau kuweka data zetu on na kuchungulia chungulia habari mpya.

Mmeniangisha banaaa. Japokuwa mmefika ila. Mmmhh.

Ila nawapenda sana jamani hata sijui kwa nini. [emoji8] [emoji8]

Bila kumsahau Ney bright na joanah
Nakupenda pia mamii, ubusy wa leo nimekwazika sana kweli jf ni ugonjwa mbaya sana ila ndio hivyo mwaya hakuna namna lazima kazi zifanyike tuu.
 
Back
Top Bottom