Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kweli kabisa aiseemapenzi sio pesa ,ila mapenzi bila pesa hayataenda lazima pesa iwepo ili kutunza mapenzi.mtaishije bila pesa ,si mtakufa njaa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa aiseemapenzi sio pesa ,ila mapenzi bila pesa hayataenda lazima pesa iwepo ili kutunza mapenzi.mtaishije bila pesa ,si mtakufa njaa .
Hongera sana kama ndio hivyonipo cool na jamii yangu,nashiriakiana na jamii yangu kjwenye mambo yote muhimu,misiba,sherehe ,kutembelea wagonjwa n.k mimi ni mpole flani japo sio saana pia ni mkarimu kwa kiasi flani .mimi ni mtu wa kawaida kwa kifupi naishi kwa kufata maadili ya kitanzania kama nilivolelewa na wazazi wangu.nadhani kwa jamii inayonizunguka sina tabia mbaya maana hata kama nikisema nipige tukio huwa naenda kupiga mtaa wa mia nane huko.sina tabia chafu hata kidogo kwa jamii
Faiza foxy live interview on DJ sepetu show!!Sehemu gani yaan nipo humu humu tu
AiseeWewe dawa yako ni kuibiwa hiyo avatar yako kwa sababu hamna namna sasa!!!
usanii huwa sipendi kabisaa hunterHahahaha Joseverest hunter ukiibiwa avatar unakuwa mkali kama mbogo.
Kudhania ni trial and error tu.Hahahaaa. Hivi sijawahi danganya eeee.
Kwa wale wenye kumuangalia kinje nje huwa wanashindwa kumuelewa ila yuko tofauti na wengi wanavyodhania.
Hii interview ilikuwa tamu sana maana ni mwendo wa maswali na majibu papo kwa hapo
Walioharibu ni wale wa kuwekeana siti walipofika mpangilio mzima ukaharibika interview ikageuka kuwa kijiwe cha soga
Interview nyingine DJ Sepetu fanya kama ya leo unaanza moja kwa moja wakuitana wakistuka interview imeisha.Hongera Joseverest imeitendea haki hii interview
Anyway ni mtazamo tu wapendwa msijenge chuki
Na kweliNgoja niisubiri ya bi faiza
Ha ha ha hahapana ,japo nilisex na mwanaume ambae nampenda for money ila hakunipa hata mia ya nauli na sikuwa na nauli nikatembea kwa mguu masaa mawili na jua kali.plus papuchi yangu ilivotamu na nzuri nilimchukia vibaya mno .sipendi hata kumsikia
Kweli????mapenzi sio pesa ,ila mapenzi bila pesa hayataenda lazima pesa iwepo ili kutunza mapenzi.mtaishije bila pesa ,si mtakufa njaa .
Kwa sababu hataki tuulize maswali..kila maswali yeye tu aulize?? Ndio maana imebidi niulize halafu baadae ukiuliza swali lako la msingi unaambiwa limeshajibiwa tayari kwa hiyo unakuwa discouraged..Kwanini umemuingilia bila kusubiri amalize.. ndio uulize mengine!?
pole sana aseehHaaaa haaaa nilitaka kuwai nafasi yako
Ajabu kumbe wameniwai[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena Miss Natafutanaona maswali yameisha naomba uniruhusu niondoke mkuu
Unatumia browser au JF app?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Atakuwa anaosha chungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]Yaani mimi kila kitu nachukulia serious.
Nimeamini kati ya uliyosema hapa leo. Karibia 90% inatuambia wewe ni nani. Usiniambie ulikuwa unatania hapa.
So mimi nafurahi kukufahamu dada yangu.
Huo utafiti uliofanya kwa kuchukua sample ya wanaume wangapi? Kutoka sehemu zipi?ila kuna jambo huwa linanishangaza shogaa kuna wanaume ni wazuri,warefuu yaani wamejazia mwili wa kiume kabisa ila wana vibamia hatare .shida ni nini? hormone au vilikatwa?
Nakupenda pia mamii, ubusy wa leo nimekwazika sana kweli jf ni ugonjwa mbaya sana ila ndio hivyo mwaya hakuna namna lazima kazi zifanyike tuu.