Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Nisamehe tuu dadaake ndio napata muda now sasa sielewi naanzia wapi maana naenda mbele mara narudi nyuma yaan hekaheka mtindo mmoja ili mradi vituko, ila acha nijitahid tuu kusoma maana huyu mwanadada nampendaga sana aiseeh.
[emoji23][emoji23][emoji23] ujue uliniquote kule kwa josse naanzaje kukuita sasa woiiii
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
so-sad-emoji.png
 
Nisamehe tuu dadaake ndio napata muda now sasa sielewi naanzia wapi maana naenda mbele mara narudi nyuma yaan hekaheka mtindo mmoja ili mradi vituko, ila acha nijitahid tuu kusoma maana huyu mwanadada nampendaga sana aiseeh.
Jitahidi
Kuna ya Faiza upande wa pili kule
 
honestly kiroho safi kabisa huwa namuappreciate kila mtu humu ndani.hata mtu nikigombana nae ni ile tu nyuma ya keybord ila sina kiburi au kinyongo cha ndani nae.japo kuna watu wanaoniudhi kwa kuniita Malaya as if nishawai kulala nao ,ila kila mtu humu mi nampenda tu japo kuna mashost zangu humu ndani nawaitaga wambea wenzangu ahahaa acha tu sitaki kuwataja
Good good
 
Back
Top Bottom