Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ewaaaah bara bara kabisaJose basi hapo roho yako kwatuuu, enterview ya leo umetendewa haki
Nipe mwongozo basi. Nifungulie pm nije huko.ahahaaa hata mimi nakupenda mkuu.nataka unigegede
Aisee ila yameisha mkuu na amenijibu vyema sina tatizoMkuu leo umeng'ang'ania ka kunguni.
Aquarian.mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
usimchukie alikupa somo "all that glitters s not gold" ..papuchi na hata mia hakutoa...naamini baada ya tukio hilo haijajirudia tena hali kama hio...whats doesnt kill you makes u strongerhapana ,japo nilisex na mwanaume ambae nampenda for money ila hakunipa hata mia ya nauli na sikuwa na nauli nikatembea kwa mguu masaa mawili na jua kali.plus papuchi yangu ilivotamu na nzuri nilimchukia vibaya mno .sipendi hata kumsikia
Hahaaaa. Hata sijauliza ujue.Hahahaha umeuliza swali kweli
sureKaka hizi interview zako zitakosa mvuto Kwa kufanya interview kila siku,nakushauri uwe unafanya kila wiki na Siku ijulikane na muda ujulikane,maana sio wote tunaoweza kushinda jf kila siku kila wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
ntakupitia miss....twenzetu.mbaya sana.natamani kuhama nchi .akitokea mbeaba box yoyote pm mimi nazama nae
Kwenye post kuna Edit option, click and u will be able to correct.
Wewe unavuruga utaratibu. Next time uwe host basii.Umezidiwa leo comrade
Dj amekuwa mstaarabu kaamua kumpisha huyu Joseverest maanake inaonesha alikuwa anasubiri kwa hamu fursa hiiMbona sielewi?nani host wa hii interview?dj au jose?
Na wale wanabadili ID every other day!Miss Natafuta; Una ushauri gani kwa watu wenye fictional online persona, specially wanaume wanaojifanya wanawake?
Umeona majibu ya mpalestina?
Same compass bearing utaachaje kuelewana..???[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hii naikubali kwa 100% na sijawahi kusema sehemu ila nilijiridhisha siku ile moja tuliyopiga story sehemu. Japo zilikuwa chache kwanza sikutegemea kama we ni mtu wa aina ile na ungenipokea vile.
Hongera sana ndio mana watu wakikuongelea vibaya huwa najikalia kimya huku ukweli ninao moyoni.
Nilikukubali kimya kimya lol.
Nani ni adui yako mkuu (mtu usiye mpenda) hapa jamii forum...?? I bety it might be me ...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]asante mkuu nawe shukrani ,sidhani kama kuna swali sijajibu
napenda matunda yote ,ila aaple,machenza,ni zaidi nanasi na chungwa napenda sana ila ni mvivu kuyala maana yanaitaji muda kuandaa.unapenda matunda ya aina gani na je mnyama yupi unaempenda zaidi....
sina adui yoyote .ila mimi ni adui wa wengi humu including you!Nani ni adui yako mkuu (mtu usiye mpenda) hapa jamii forum...?? I bety it might be me ...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nahitaji bidhaa toka kwa Miss natafuta tuu sina zaidi ya hilo