Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
Aquarian.
 
hapana ,japo nilisex na mwanaume ambae nampenda for money ila hakunipa hata mia ya nauli na sikuwa na nauli nikatembea kwa mguu masaa mawili na jua kali.plus papuchi yangu ilivotamu na nzuri nilimchukia vibaya mno .sipendi hata kumsikia
usimchukie alikupa somo "all that glitters s not gold" ..papuchi na hata mia hakutoa...naamini baada ya tukio hilo haijajirudia tena hali kama hio...whats doesnt kill you makes u stronger
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hii naikubali kwa 100% na sijawahi kusema sehemu ila nilijiridhisha siku ile moja tuliyopiga story sehemu. Japo zilikuwa chache kwanza sikutegemea kama we ni mtu wa aina ile na ungenipokea vile.

Hongera sana ndio mana watu wakikuongelea vibaya huwa najikalia kimya huku ukweli ninao moyoni.

Nilikukubali kimya kimya lol.
Same compass bearing utaachaje kuelewana..???
 
Back
Top Bottom