Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!



nimecheka had mafua yamekuja jaman espy njoo huku uwiiiii !jaman kudate na le serengeti kwanza inahitaj upako mtakatifu heheheheheheheh
 
nimecheka had mafua yamekuja jaman espy njoo huku uwiiiii !jaman kudate na le serengeti kwanza inahitaj upako mtakatifu heheheheheheheh
ahahaaa eti bae ,au coco maana yake nini maana hadi leo sijawai kuelewa mwenzangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehe mwaya bahati haziji mara mbili ndoa hio bibie ukaikosa hivi hivi....follow ua heart bt take ua brains with u
 
uliza tu mpendwa
Umejieleza about ur age, nikaona kama upo katikati ki umri na uliisha-"date" kwa sana.
Swali: Kati ya uliodate nao na walioko kitaa, wanaokutamani wenye kuonesha nia ya dhati, hakuna hata mmoja uliyempima na kuona kuwa kweli ana nia ya dhati kabisa ya kuweza kujenga familia na wewe, "l mean marriage"?
Swali la pili linakuja ivii?
Ni "age" gani "maximum" ya mwanaume unayeona anafaa kuwa mmeo, ukiachana na sifa zingine?
Ukinibu haya, ndiyo nitakomentia majibu yako hayo.
 
sijawai kudate sana mkuu .mahusiano yangu hayazidi matatu
natamani mwanaume yoyote like miaka 40-55 hivi hawa vijana sitaki .kusumbuana tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Asante kwa majibu mazuri je mlikuwa na tofauti ya umri gani?ushawahi au una tumia sigara,shisha or weed na ulianza kutumia kwa kupenda mwenyewe au kwa ushawishi wa mpenzi au marafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…