Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
uliza tu mpendwaMiss, bahati mbaya nimekuta conversation imeisha. Ilinoga na kuwa tamu sana.
Nimepitia comments nilizopitia,ila nnakiu nami nataka nitupiemo tuwili, je nnaruhusiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliza tu mpendwaMiss, bahati mbaya nimekuta conversation imeisha. Ilinoga na kuwa tamu sana.
Nimepitia comments nilizopitia,ila nnakiu nami nataka nitupiemo tuwili, je nnaruhusiwa?
arsenalleo ni super sataday ughaibuni unashabikia timu gani ya mpira
ndio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
ahahaaa eti bae ,au coco maana yake nini maana hadi leo sijawai kuelewa mwenzangunimecheka had mafua yamekuja jaman espy njoo huku uwiiiii !jaman kudate na le serengeti kwanza inahitaj upako mtakatifu heheheheheheheh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
Huna presha kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]arsenal
ahahaaa acha tuHuna presha kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole Sana shostiahahaaa acha tu
mwee kumbe ndio nyie tuliwapiga kipigo takatifu..mwenzio nipo Majogoo wajiji liverpool...leo upepo sio kivile tumetoka sareearsenal
hehehe mwaya bahati haziji mara mbili ndoa hio bibie ukaikosa hivi hivi....follow ua heart bt take ua brains with undio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
Umejieleza about ur age, nikaona kama upo katikati ki umri na uliisha-"date" kwa sana.uliza tu mpendwa
sijawai kudate sana mkuu .mahusiano yangu hayazidi matatuUmejieleza about ur age, nikaona kama upo katikati ki umri na uliisha-"date" kwa sana.
Swali: Kati ya uliodate nao na walioko kitaa, wanaokutamani wenye kuonesha nia ya dhati, hakuna hata mmoja uliyempima na kuona kuwa kweli ana nia ya dhati kabisa ya kuweza kujenga familia na wewe, "l mean marriage"?
Swali la pili linakuja ivii?
Ni "age" gani "maximum" ya mwanaume unayeona anafaa kuwa mmeo, ukiachana na sifa zingine?
Ukinibu haya, ndiyo nitakomentia majibu yako hayo.
Hahahaaaa!! Upako kweli kweli, hata mawazo ya maana havinaga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
ndio nilishawai ila mahusiano yalivunjika baada ya siku mbili.
changamoto kubwa ilikuwa ni kiserengeti kilikuwa na wivu sana,kinataka tuchati kila saa.kinione kila saa yaani hatulii. pia nilikuwa sijibu sms zake maana nilikuwa sizielewi ,maneno kama bae? lmfao,xaxa,coco . hadi niombe kutafsiriwa akaona kama namchunia namdharau .tukashindwana tu.ila alikuwa ananipenda sana just imagine alikuwa anataka ndoa tu kwangu
duuuh kilo 93mimi ni kibonge flani japo sio sana nina kg 93.ile avatar ilikuwa ni mimi mkuu so niliitoa kwa sababu maalumu
Huyo ni tembo binadamu!!duuuh kilo 93