Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

f02da813767add39f6c9036652f9aa4d.jpg
Ninavyofatilia hii interview
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
oprah,yusuphu, king david wa kwenye bible.bia king hezekia wa kwenye bible .teyler perris wapo wengi .kwa kifupi watu wote ambao walipitia magumu katika maisha yao then wakaja wakatoboa .nikiangaliaga story zao huwa wananitia moyo kila siku za kuendelea kufight
Ooh jambo zuri sana hili ukizidisha juhudi linawezekana...

Unajiona wapi miaka mitano kimalengo
 
Back
Top Bottom