elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Thank youYou are welcome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank youYou are welcome
Kwani wanatoa tuzo ?Hivi kuna siku wanaume na sisi tutaojiwa? Maana inapelekea watu kuja na ID za kike ili tu wahojiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee aiseeeee
Hakuna tatizo hapo, mletaji atapata hospitality pia. Unaniletea wewe siyo?yap utaletewa ila utaongeza hela ya usafiri
oprah,yusuphu, king david wa kwenye bible.bia king hezekia wa kwenye bible .teyler perris wapo wengi .kwa kifupi watu wote ambao walipitia magumu katika maisha yao then wakaja wakatoboa .nikiangaliaga story zao huwa wananitia moyo kila siku za kuendelea kufightNani ni role model wako anayekuinspire??
WoteMbona sielewi?nani host wa hii interview?dj au jose?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mbona unanidindishia mkuu?
Host ni DJ sepetu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ninavyofatilia hii interview![]()
One day yes be assured mkuu!Hivi kuna siku wanaume na sisi tutaojiwa? Maana inapelekea watu kuja na ID za kike ili tu wahojiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kuna team ilipanga kufanya mapinduzi kwa host naona.Sio fair bana wewe muulize hivyo hivyo kama kila siku,ni kama umemtupia kwa watu wamuulize kitu ambacho tusio na maswali tutakosa uhondo ushauliza ya kibamia au la?
Wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha nakuona nakuona unaita committee kabisa
uzito wangu haupungui japo hauongezeki. mimi napenda sana kula vitu vitamu.japo sili sana ila siwezi kukaa masaa matatu bila kutafuna kitu.issue ingine nina free mind and soul kwa hiyo nanenepa tu mwili au roho vimeridhika
Leo kuna team ilipanga kufanya mapinduzi kwa host naona.
Jaribio limefanikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ooh jambo zuri sana hili ukizidisha juhudi linawezekana...oprah,yusuphu, king david wa kwenye bible.bia king hezekia wa kwenye bible .teyler perris wapo wengi .kwa kifupi watu wote ambao walipitia magumu katika maisha yao then wakaja wakatoboa .nikiangaliaga story zao huwa wananitia moyo kila siku za kuendelea kufight
93kg??mimi ni kibonge flani japo sio sana nina kg 93.ile avatar ilikuwa ni mimi mkuu so niliitoa kwa sababu maalumu
Sio mbaya ngoja wengine tushibe kwanzaNinavyofatilia hii interview![]()