Passport yake imepatikana amezaliwa 1989 means ana miaka 24
Nimependa avator yako mumyyyyyyyy
Nimependa avator yako mumyyyyyyyy
Kama ilivyo desturi JF ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..
Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...
Team ya kanzi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayaku kosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa...
Huyu binti Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling
Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake...
JF ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo
Yaan kwenye umiss waliojitahidi ukubwa walisema wana miaka 23 wenginr 18,19,20,22,,basiii
Kama ilivyo desturi JF ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..
Wadau wa jf nisaidieni kwa hili. Primary ni 7yrs, olevel ni 4yrs, adv-level ni 2 yrs, degree ni 3+yrs na masters ni 1 or 2 yrs. Ina mana huyu mlimbwete alianza shule akiwa na mwaka mmoja? Au janja janja?