Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili

Kuanzia mkiwa darasa la ngapi aluanza kuruashwa darasa?

Je hamuoni kuwa vitambulishobna miaka iliyoandikwa au?

Haya sema shule gani, alirushwa mkiwa darasa la ngapi etc

Wengi wamesoma bongo akili za A nyingi mbona hawadai kurushwa wote
 
Namsifu Huyu miss Kwa kudanganya halaiki. Kwani Tz nini hakiendi kiujanja ujanja
 

mkuu safi sana kubwabwaja bila ushaidi siyo vizuri
 
namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili

Bado hujaonesha una simama sehemu gani hasa kwenye swala la umri!

Kurushwa madarasa linaweza lisiwe swala la msingi labda ujaribu kuonesha alirushwa vipi na alirusha hadi level gani na sasa ana elimu gani!

Mwasiti ana miaka mingapi kati ya hii kama unamjua vyema na Una pinga ushahidi ulio tolewa hapa?

Miaka 18?
Miaka 23?
Miaka 25?
Naomba utupigie mahesabu ukionesha jinsi alivyo rushwa darasa!
 

Kwa hiyo alifoji passport na driving licence?
 
Acha uongo, haya taja ulisoma nae shule gani na mwaka gani tukuumbue hapa sasa hivi.

wait nakuja na thread kabambe iliyojaa ukweli wa kutosha kumsafisha malaika huyu
 
Kuanzia mkiwa darasa la ngapi aluanza kuruashwa darasa?

Je hamuoni kuwa vitambulishobna miaka iliyoandikwa au?

Haya sema shule gani, alirushwa mkiwa darasa la ngapi etc

Wengi wamesoma bongo akili za A nyingi mbona hawadai kurushwa wote

majibu yako yatakuja kupatikana kwenye thread ninayoifungua soon
 
Ukiona kila mtu analalamika ujue kuna jambo, huyu hakustahili kabisa kuwa Miss Tanzania, aliyestahili ni yule dada aliyejibu swali la family planning alikuwa wa mwisho kujibu kuulizwa na kujibu maswali.

hata mi nlihisi hvyo kwa uzoefu wangu wa mamiss hawa walijibu vizuri
nancy sumari
richa adhia
genevive
salha israel
brigite
 
Hivi umri wa kushiriki umiss maximum ni miaka mingapi?

mpka mwaka 2013 miss world.
THE ENTRANT MUST NOT BE 25 YEARS OLD BEFORE THEIR NATIONAL PAGEANT.SHE MUST BE 24 YEARS OLD BEFORE HER NATIONAL PAGEANT AND MUST NOT EXCEED 25 YEARS OF AGE BEFORE THE MISS WORLD BEAUTY PAGEANT IS HELD....BUT THERE ARE EXCEPTIONS, IF THE ENTRANT BIRTHDAY IS AFTER HER NATIONAL PAEANT BUT SHE IS STILL 25 THEN YES SHE CAN ENTER.
 
Kwanini humuwaiti dada na wadogo zenu kushiriki ktk mashindano haya.
Wana vigezo mnawaficha.

Binti wa watu kajitokeza, mwaanza maneno.
Ivi ufake ktk TZ ndo unaanza leo.
Everbody is fake somwhre /somehw.
Au mlikua na mtu wenu wa kushinda.

Wengine kwetu vidume tupu.Ndio sasa watu tumeamka sasa kuumaliza ufeki wowote.Watu hawana shida na ushindi shida kudanganya umri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…