Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
bmk + ccm = chakachua
Misstz + x = chakachua, find x
Hesabu nyingine nimeongezea mkuu.
Ha ha ha uwiii x atakuwa miss Bibi bomba Mtemvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bmk + ccm = chakachua
Misstz + x = chakachua, find x
Hesabu nyingine nimeongezea mkuu.
namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili
huyu dada mbona mnamuandama sana. Ths is cyberbullying. Atajiua, muacheni.
Nimegundua kuna watu mnaingia kwenye huu mjadala bila kusoma au kujua kinacho jadiliwa!
Unasema una ushahidi lakini haujauweka lakini wenzio wenye ushahidi wame uweka hadharani!
Mwanzo Mwasiti ilisemekana ana miaka 18 na ana Masters!
Kamati ya Miss Tanzania imesema Mwasiti ana miaka 23 na amezaliwa 1993 na hana Masters!
Ushahidi unaonesha amezaliwa 1989!
Weka ushahidi kupinga ushahidi wa wenzio!
nadhan 24
Mwisho 24 ....kwa vigezo vya miss world
Nasikia ni miaka 18 hadi 25...kama sijakosea
Ha ha ha uwiii x atakuwa miss Bibi bomba Mtemvu
Nasikia ni miaka 18 hadi 25...kama sijakosea
Kwahiyo mwaka huu hatutakuwa na mwakilishi miss world??????
huyo si ana 18 ha ha ha ataenda
namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili
Nadhani wabongo tunaongoza kwa uvumi,mie nina ushahidi huyo binti hajafikisha miaka mnayodai.nimemuona binti akiwa mchangq,na hata alivyoenda Us alikuwa kinda 17 or 18.tunashindwa kutofautisha,binti kasoma ktk mazingura yapi nchi ipi?vilevile tuelewe siku hizi beauty and brains ndiyo mpango mzima
Hivi umri wa kushiriki umiss maximum ni miaka mingapi?
Acha uongo, haya taja ulisoma nae shule gani na mwaka gani tukuumbue hapa sasa hivi.
Kuanzia mkiwa darasa la ngapi aluanza kuruashwa darasa?
Je hamuoni kuwa vitambulishobna miaka iliyoandikwa au?
Haya sema shule gani, alirushwa mkiwa darasa la ngapi etc
Wengi wamesoma bongo akili za A nyingi mbona hawadai kurushwa wote
Ukiona kila mtu analalamika ujue kuna jambo, huyu hakustahili kabisa kuwa Miss Tanzania, aliyestahili ni yule dada aliyejibu swali la family planning alikuwa wa mwisho kujibu kuulizwa na kujibu maswali.
Hivi umri wa kushiriki umiss maximum ni miaka mingapi?
Kwanini humuwaiti dada na wadogo zenu kushiriki ktk mashindano haya.
Wana vigezo mnawaficha.
Binti wa watu kajitokeza, mwaanza maneno.
Ivi ufake ktk TZ ndo unaanza leo.
Everbody is fake somwhre /somehw.
Au mlikua na mtu wenu wa kushinda.