Nimesoma habari toka Mwananchi with tittle "KASHFA NZITO MISS TANZANIA" kuna sehemu wame-quote Lundenga anasema "..Ni changamoto kubwa, lakini naamini ndio kukua kwa mashindano, mwaka jana na juzi walisema shindano limedoda, mwaka huu wanalizungumzia wiki nzima, acha watu waseme ni upepo utapita"
Kauli hii ya Mhishimiwa Lundenga ni ya dharau na ya kusikitisha. Kamati yake ina kanuni na moja katika kanuni ni sifa ya kuwa na umri usiopungua miaka 18 hadi 23... Kwa uthibitisho uliotoka katika mitandao ya jamii na hata katika gazeti la Mwananchi kuonyesha drivers' lisence na pasi ya kusafiria ya nchi, bado anasema ni upepo tu utapita!!! Kwa hiyo anataka kutuambia strategy yao kama kamati ilikuwa kupaisha umaarufu wa shindano kwa kashfa ya namna hii!!! Yaani kanuni walizojiwekea wenyewe wamevunja wao tena, sasa huyu miss TZ ana thamani gani sasa, yaani tutampa bendera mrembo feki, wengine wanamuita Mrs!!! F@%$ck these people...
Hakika ni dharau, na kwa kweli nimeamini Mzee Lundenga ni mbabaishaji na mchumia tumbo tu!!! Haiwezekani pasi ya kusafiria ithibitishe umri ya "miss TZ" halafu ujibu hivyo... NImemdharau sana huyu mzee...
"Miafrika ndivyo tulivyo"