mwanalukago
Member
- Feb 24, 2012
- 83
- 15
Hii ndo tanzania pamoja na watu kuongea sana tusishangae itabaki hivhiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua huelewi kwanini tunajadili hili swala!
Kwa hiyo hili tuwe na sifa ya kujadili inabidi wahusika wawe Dada zetu?
Kwa hiyo tusijadili kwakuwa Dada zetu hawakushiriki? Kwa hiyo ukweli usitafutwe wala kusema kwa kuwa hakuna Dada zetu?
huko hakuna ujinga huo hapa babu lundenga ndo anaendekeza, ila huyu kavunja rekodi 18 years ana masters ana watoto wawili na ni miss...kudadadeki!!!
Kweli?? Hivi kuna mtu anaweza kudanganya kwa kiwango hiki na watu wakakubali na ku-puplish kabisa uongo huo? Kweli watanzania aliyeturoga alikufa yan kuchakachua ndo dini yetu
What is BEING bullied,.?
Yes, she is being bullied.
Why did you not send ur dada who qualified the age CATEGORY.
TO CONTEST.
mwisho wa siku wote hapa mwaonekana wanafki.
Ni sheeda kwahiyo alipata mtoto akiwa na miaka 10.
![]()
Halafu anapinga kishenzi matumizi ya condom,yeye anapenda kavu kavu.
hahahhaah, ukipata nishtue mzee,
jamani huyo miss kama kazaliwa na kukulia tanzania basi watakuwepo mabinti ambao kakua nao na kusoma nao wajitokeze penye vyombo vya khabari watoe ushuhuda sababu kiukweli ni jambo la fedheha kama kuna watu wanahoji kuwa kuna ghilba imefanyika.
Na malalamiko haya kamati ya ankal lunde hivi hajayaona na kutoa tamko?
Pia najiuliza hili swali,,,,, maana ninavyojua wtz ni bingwa wa kuongea na kulalamika lkn vitendo hawajui.
wanasoma hapa ndo maana wengine wanabishana na ukweliJamani si ndio kama hivi? Au mlitakaje? Jamii Forums inasomwa dunia nzima watanzania wameshafanya kazi yao ya kuweka ushahidi, mamlaka zinazohusika ndio zitachukua hatua
Za mwizi arobaini anko Lunde hii imekula kwako.Watu washaanza kuihoji TBL kwanini wanadhamini mashindano yaliojaa hila na ngendembwe wakati mashindano yanayoendeshwa kwa haki yapo mengi tu.
Hiyo kamati kimeo ya Lundenga hawatathubutu kamwe hata kwenye radio na ninahisi huu mwaka ndio mwisho wa hii kituNatamani kamati ya Redd's Miss Tanzania ialikwe kwenye vipindi vya mahojiano kwenye TV ili wananchi wapate kuwatandika maswali.
Ndio maana VODACOM walijiondoa mapema
TBL watolee tamko hili swala maana yeye ndio main sponsor.
aibu kweli hiiiTBL watolee tamko hili swala maana yeye ndio main sponsor.
Halafu anapinga kishenzi matumizi ya condom,yeye anapenda kavu kavu.