Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Nimegundua huelewi kwanini tunajadili hili swala!
Kwa hiyo hili tuwe na sifa ya kujadili inabidi wahusika wawe Dada zetu?

Kwa hiyo tusijadili kwakuwa Dada zetu hawakushiriki? Kwa hiyo ukweli usitafutwe wala kusema kwa kuwa hakuna Dada zetu?

Hapa ndipo niliposhindwa kumwelewa data. Yani kwakuwa dada zetu hawakuwa na sifa za kushiriki kama ambavyo huyu mshindi fake hakuwa nazo basi hatuna hoja za kuusema huu udanganyifu??

Hoja hapa ni moja tu.... kadanganya ili apate vigezo vya kushiriki. Na mbinu zimetumika ili ashinde. Ushindi wake umemnyima mtanzania mwingine ambaye ni dada wa mtanzania mwenzetu aliyekuwa na sifa ushindi kuwa miss Tz.

Rushwa ni adui wa haki!!!
 
Last edited by a moderator:
huko hakuna ujinga huo hapa babu lundenga ndo anaendekeza, ila huyu kavunja rekodi 18 years ana masters ana watoto wawili na ni miss...kudadadeki!!!

Wakigundua mbona wataifungia TZ
 
Kweli?? Hivi kuna mtu anaweza kudanganya kwa kiwango hiki na watu wakakubali na ku-puplish kabisa uongo huo? Kweli watanzania aliyeturoga alikufa yan kuchakachua ndo dini yetu

Hahaha watz kipaj cha uongo kinatuhusuuu
 
What is BEING bullied,.?

Yes, she is being bullied.

Why did you not send ur dada who qualified the age CATEGORY.

TO CONTEST.

mwisho wa siku wote hapa mwaonekana wanafki.

Inaonekana una maslahi binafsi na huyu mdada. Mbona issue ipo waz, speaking of wadada wenye vigezo walikuwa wengi (Kiumri) . Kwanini apewe taji yeye ambae hata umri wenyewe ni wa kikanjanja ? ( Achana na kuwa agaist instructions za kujibu swali kwa kifaransa instead of english, which is totaly failure)
 
Ni sheeda kwahiyo alipata mtoto akiwa na miaka 10.
attachment.php

Halafu anapinga kishenzi matumizi ya condom,yeye anapenda kavu kavu.
 
jamani huyo miss kama kazaliwa na kukulia tanzania basi watakuwepo mabinti ambao kakua nao na kusoma nao wajitokeze penye vyombo vya khabari watoe ushuhuda sababu kiukweli ni jambo la fedheha kama kuna watu wanahoji kuwa kuna ghilba imefanyika.
Na malalamiko haya kamati ya ankal lunde hivi hajayaona na kutoa tamko?

Hivi wewe una akili timamu kweli? Evidence ya passport na driving licence havitoshi?
 
Pia najiuliza hili swali,,,,, maana ninavyojua wtz ni bingwa wa kuongea na kulalamika lkn vitendo hawajui.

Jamani si ndio kama hivi? Au mlitakaje? Jamii Forums inasomwa dunia nzima watanzania wameshafanya kazi yao ya kuweka ushahidi, mamlaka zinazohusika ndio zitachukua hatua
 
Za mwizi arobaini anko Lunde hii imekula kwako.Watu washaanza kuihoji TBL kwanini wanadhamini mashindano yaliojaa hila na ngendembwe wakati mashindano yanayoendeshwa kwa haki yapo mengi tu.
 
Ungeziunganisha tu hizi habari za Sitti, maana zimekuwa nyingi lengo moja.
 
Natamani kamati ya Redd's Miss Tanzania ialikwe kwenye vipindi vya mahojiano kwenye TV ili wananchi wapate kuwatandika maswali.
Hiyo kamati kimeo ya Lundenga hawatathubutu kamwe hata kwenye radio na ninahisi huu mwaka ndio mwisho wa hii kitu
 
Nimesoma habari toka Mwananchi with tittle "KASHFA NZITO MISS TANZANIA" kuna sehemu wame-quote Lundenga anasema "..Ni changamoto kubwa, lakini naamini ndio kukua kwa mashindano, mwaka jana na juzi walisema shindano limedoda, mwaka huu wanalizungumzia wiki nzima, acha watu waseme ni upepo utapita"

Kauli hii ya Mhishimiwa Lundenga ni ya dharau na ya kusikitisha. Kamati yake ina kanuni na moja katika kanuni ni sifa ya kuwa na umri usiopungua miaka 18 hadi 23... Kwa uthibitisho uliotoka katika mitandao ya jamii na hata katika gazeti la Mwananchi kuonyesha drivers' lisence na pasi ya kusafiria ya nchi, bado anasema ni upepo tu utapita!!! Kwa hiyo anataka kutuambia strategy yao kama kamati ilikuwa kupaisha umaarufu wa shindano kwa kashfa ya namna hii!!! Yaani kanuni walizojiwekea wenyewe wamevunja wao tena, sasa huyu miss TZ ana thamani gani sasa, yaani tutampa bendera mrembo feki, wengine wanamuita Mrs!!! F@%$ck these people...

Hakika ni dharau, na kwa kweli nimeamini Mzee Lundenga ni mbabaishaji na mchumia tumbo tu!!! Haiwezekani pasi ya kusafiria ithibitishe umri ya "miss TZ" halafu ujibu hivyo... NImemdharau sana huyu mzee...

"Miafrika ndivyo tulivyo"
 

Attachments

  • Miss TZ1.jpg
    Miss TZ1.jpg
    64 KB · Views: 220
Back
Top Bottom