Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Ni sheeeda ..Tanzania ni utapeli ,siasa ,Michezo ,mapenzi kila sekta ni sheeeeda
 
Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.
tupe hiyo hesabu yako ya miaka 20 sasa nyie tunawapuzaaa kama njusa misifa ya uongo tu hapaaa tokaaaaa.
 
Huyu hakustahili kushinda kabisa...atakuwa kampa lundenga 0655...si bure...mbayaaaaaaaaaaaa
 
mm najiuliza hivi hawa watu au viongozi wetu huwa wanatuonaje hadi kufikia hatua ya kudanganya hivi. Wanaona bado tupo primitive kiasi cha kwamba ukwel usingeweza kujulikana? Ama kwel hii nchi ya kusadikika!!!!!
 
Nilishasemaga Lundenga ni tapeli mkubwa kwenye haya mashindano ya ulimbwende!
 
Back
Top Bottom