Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikua miaka mitatu iliyopita
Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.
Tena mbele ya Baba na Mama ama kweli tumelelewa tofauti mwe mwe mwe !
Alikuwa anasubiria Kuzaa kwanza.
tupe hiyo hesabu yako ya miaka 20 sasa nyie tunawapuzaaa kama njusa misifa ya uongo tu hapaaa tokaaaaa.Dah kitu kimepikwa hiki yaani mimi mwenyewe leo na miaka 20 ndio naingia mwaka wa3 bachelor of pharmacy..Huyo 18yrs masters holder dah inakatisha tamaa mkuu.
Acheni kumsakama mdogo wangu. Wivu tuu unawasumbua, umri wake unawahusu nini. Nyau nyie
Mwacheni mlimbwende wa Tanzania.....nasikia pia ni bikra.
Jinga sana
Akiwa Dallas alikuwa 25 yrsView attachment 193735
Aisee labda Alichanganya tu badala ya 28 akasema 18.