Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
View attachment 193934
Na driving licence nayo inaonesha may 1989.
Hahahahaa daah!
Huyu binti ana wakati mgumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 193934
Na driving licence nayo inaonesha may 1989.
Hahahahaa daah!
Huyu binti ana wakati mgumu sana.
Mods please. We have had enough of this.
huyu dada mbona mnamuandama sana. Ths is cyberbullying. Atajiua, muacheni.
Miss world mwisho wa age limit ni miaka 24. Lundenga atalinywa hili.Hivi age limit ya Miss Tanzania ikoje? Je Miss World?
Nimesoma sehemu Miss Amerika ni miaka 17 hadi 24.
Kwa umri wake unaoonyesha kwenye hiyo pasipoti asingetoboa mdada.
Mods please. We have had enough of this.
Katufu una roho mbaya sana, nawewe kuwa na miaka 26 uonekane una miaka 18 ili ushinde basi.
Acheno roho za korosho hizo![/QUO
Hii ndio tz kila kitu ni kufoji ili mambo yaende, ujue mm huwa nashangaa wanapotangaza nafasi za kazi na kulimit umri wakati robo tatu wana vyeti vya kufoji
Miss world mwisho wa age limit ni miaka 24. Lundenga atalinywa hili.
Not yet, mpaka mkome nchi imeoza kabisa hii.
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.
Miss world mwisho wa age limit ni miaka 24. Lundenga atalinywa hili.
Not yet, mpaka mkome nchi imeoza kabisa hii.
Kwani wapi sisi ni wa kweli?
Kuanzia Siasa mpaka kwenye Madhehebu ni uongo tu. Sembuse sanaa!
Hivi 2014 -1989 mbona ni 25 mmefanya hesabu gani? Miaka hiyo 25 kuwa na master ni sawa. Acheni kumshambulia binti mtieni moyo.
Mbona Hilo kwapa sio la miaka 18?