Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili

kama una uhakika na unachosema. Poa

kama una fake, ni walewale tu.
HATE FOR NO REASON, LIKEWISE LOVE.
 
Lundenga kaombe msamaha wote uliowadhulumu. Hii ni laana na malipo ya uhuni wote uliofanya ukidhani wewe ndio unaijua zaidi Dar es salaam.

Shindano limekufia mkononi rasmi ukitazama kwa macho yako.
 
Nadhani wabongo tunaongoza kwa uvumi,mie nina ushahidi huyo binti hajafikisha miaka mnayodai.nimemuona binti akiwa mchangq,na hata alivyoenda Us alikuwa kinda 17 or 18.tunashindwa kutofautisha,binti kasoma ktk mazingura yapi nchi ipi?vilevile tuelewe siku hizi beauty and brains ndiyo mpango mzima

Anayodai nani mkuu?
Ina maana hiv vielelezo vya hati ya kusafiria sio vyake?
 
namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili

Vipi umri wake kutofautiana mama wa kwake pasport mwaka wake na umiss 23 hiyo talent labda huko shule miss Tanzania kabebwa na hakuwa na talent ya u model
 
Hivi umri wa kushiriki umiss maximum ni miaka mingapi?
 
Huoni kama huyu binti anakua bullied.?
Sina mda wa kureport abuse.

Tunarepot abuse kwa vichaa. Hawa wanaomuandama huyu dada wote wana akili timamu.

Tutake radhi acha kuita watu vichaa mbona kila kitu kiko wazi kabebwa hadi kila mtu kashtukia kupewa taji
 
Nadhani wabongo tunaongoza kwa uvumi,mie nina ushahidi huyo binti hajafikisha miaka mnayodai.nimemuona binti akiwa mchangq,na hata alivyoenda Us alikuwa kinda 17 or 18.tunashindwa kutofautisha,binti kasoma ktk mazingura yapi nchi ipi?vilevile tuelewe siku hizi beauty and brains ndiyo mpango mzima

Kwa hiyo unataka kusema alitunga miaka yake marekani kudanganya anezaliwa mwaka 1989 ili iweje?

Watu wamechoka kudanganywa.

Kwa hiyo unamjua sema alizaliwa hops gani tarehe ngapi kwezi gani?

Kwani umeona akikataa kuwa ni uongo?
 
Nachoshindwa kuelewa mimi....hivi kwani Ms. Tanzania ni big deal kiasi hicho mpaka uongope kama inavyodaiwa huyo binti alivyofanya?

Halafu, kama kweli kadanganya umri wake pamoja na hayo mambo mengine basi atakuwa ni bonge moja la mjinga.

Bonge moja la mjinga kwa sababu, katika dunia ya leo ya utandawazi huu, kuna mambo na mambo ambayo huwezi ukadanganya hususan mbele ya umma.

Sasa wewe mtu uko kwenye social media huko, halafu unaenda kwenye national stage na kuongopa taarifa zako mwenyewe, unategemea kweli watu hawatajua kuwa unaongopa?

Binafsi sifuatilii kabisa haya mambo ya mamiss lakini kama hizi habari kumhusu huyu binti ni za kweli basi akili yake itakuwa na hitilafu sehemu fulani.

Na nani anataka kuwakilishwa na mtu zuzu kama huyu?

Hili saga lina kila dalili ya kuja kuwa bonge la kashfa.

Hitilafu ya akili sio kwake tu, hata baba yake pia atakuwa na hitilafu kwenye kichwa yake. Alionekana kwenye TV jinsi alivyofurahi , na kuahidi kumuachia binti yake huyo taasisi yake ya kupeleka watu uarabuni kuosha vyombo.
 
What is BEING bullied,.?

Yes, she is being bullied.

Why did you not send ur dada who qualified the age CATEGORY.

TO CONTEST.

mwisho wa siku wote hapa mwaonekana wanafki.

Nimegundua huelewi kwanini tunajadili hili swala!
Kwa hiyo hili tuwe na sifa ya kujadili inabidi wahusika wawe Dada zetu?

Kwa hiyo tusijadili kwakuwa Dada zetu hawakushiriki? Kwa hiyo ukweli usitafutwe wala kusema kwa kuwa hakuna Dada zetu?
 
Watu wengine kama hawaoni wakitetea ujinga. Miaka kaandika mwenyewe kwenye vielelezo muhimu halafu mseme or siyo miaka yake oh hivi. Hata kuvushwa kwake kutakuwa kwa ajabu eti miaka 18 Masters kwamba alianza darasa akiwa na mwaka mmoja kabla hata hajaacha kunyonya
 
Sitti nadhani yuko size 12 -14

Na miss world ni size 8-10 hivi

Sa itakuwaje huko miss world?
 
Nachoshindwa kuelewa mimi....hivi kwani Ms. Tanzania ni big deal kiasi hicho mpaka uongope kama inavyodaiwa huyo binti alivyofanya?

Halafu, kama kweli kadanganya umri wake pamoja na hayo mambo mengine basi atakuwa ni bonge moja la mjinga.

Bonge moja la mjinga kwa sababu, katika dunia ya leo ya utandawazi huu, kuna mambo na mambo ambayo huwezi ukadanganya hususan mbele ya umma.

Sasa wewe mtu uko kwenye social media huko, halafu unaenda kwenye national stage na kuongopa taarifa zako mwenyewe, unategemea kweli watu hawatajua kuwa unaongopa?

Binafsi sifuatilii kabisa haya mambo ya mamiss lakini kama hizi habari kumhusu huyu binti ni za kweli basi akili yake itakuwa na hitilafu sehemu fulani.

Na nani anataka kuwakilishwa na mtu zuzu kama huyu?

Hili saga lina kila dalili ya kuja kuwa bonge la kashfa.

Mkuu Nyani Ngabu hiyo passport yake ni bonefined kama anavyo penda kuita mkuu Pasco na ndio iliyotumika kuchukua details zake za kumpatia Driver license hapa Dallas...

Na kama umeona vizuri hiyo document imeambatana na drive license yake ili kuthibisha ukweli... Maana kama unavyo jua hapa watu hawachelewi kusema ni fake..

Na kuna mambo mengi sana yana muhusu huyu binti ila kwa sasa yameifadhiwa kwanza... Dallas patamu kaka binti aliweuka akadhani ndio mwisho wakila kitu akajiachia kama kesho hatoiona vile... Mungu amsaidie aweze kuvuka salama kwenye kipindi hiki maana amejiaribia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wabongo tunaongoza kwa uvumi,mie nina ushahidi huyo binti hajafikisha miaka mnayodai.nimemuona binti akiwa mchangq,na hata alivyoenda Us alikuwa kinda 17 or 18.tunashindwa kutofautisha,binti kasoma ktk mazingura yapi nchi ipi?vilevile tuelewe siku hizi beauty and brains ndiyo mpango mzima

Nimegundua kuna watu mnaingia kwenye huu mjadala bila kusoma au kujua kinacho jadiliwa!

Unasema una ushahidi lakini haujauweka lakini wenzio wenye ushahidi wame uweka hadharani!

Mwanzo Mwasiti ilisemekana ana miaka 18 na ana Masters!

Kamati ya Miss Tanzania imesema Mwasiti ana miaka 23 na amezaliwa 1993 na hana Masters!

Ushahidi unaonesha amezaliwa 1989!

Weka ushahidi kupinga ushahidi wa wenzio!
 
namjua vizuri sitti alikua mwanafunzi gift and talented darasani ndio maana alikua anarushwa madarasa ni msichana mwerevu sana ndio maana sikushangaa alipochaguliwa kua tanzania one woman alistahili

Acha uongo, haya taja ulisoma nae shule gani na mwaka gani tukuumbue hapa sasa hivi.
 
Lundenga kaombe msamaha wote uliowadhulumu. Hii ni laana na malipo ya uhuni wote uliofanya ukidhani wewe ndio unaijua zaidi Dar es salaam.

Shindano limekufia mkononi rasmi ukitazama kwa macho yako.

prashant anasherehekea ushindi huko aliko
nimetumiwa picha ya mtoto wake whasaap
 
hayo ndo maahabu ya tz baada ya saba weka na hili
 
Back
Top Bottom