eeh bana..hiyo kali. kwa hiyo wazazi wako sawa kuepusha binti zao na hiyo mavitu.Huyu Lundenga mbona kama ni mzee ila bado yupo busy na vitoto manake nasikia ili uwe miss tanzania lazima umvulie chupi.....
Kunywa juice ya limao na ndimu ni tiba ya msonyo
Wanaoongea kichina, kigerumani, kirusi wao wakivuka boda zao kinawasaidia wapi?
Abbas Zubeir Mtemvu Mbunge wa Temeke na Hashim Lundenga ni washikija sanaaaa
Mjomba Lundenga kaamua kumpa umiss mtoto wa swaiba wake
...mkuu unashangaa wakati tuliwahi kuwa na miss tz muhindi kabsaaa,dadeki chezeya feza weye...
Kunywa juice ya limao na ndimu ni tiba ya msonyo
Nimefata hiyo link naona wote ni mashombe. Kuna Mtanzania asilia hapo? kwa hiyo sioni ajabu ikiwa wanaongea Kiingereza zaidi.
Ahahaaaa! Miss amefanana na baba yake....aaahaaahhaaahhaaah...
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi
Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui
.
Nimefatilia comment za watu nimengudua watanzania wengi sana wana wivu!!!!
Nimemsikia nikashangaa kwa nini hakuongea kiswahili anachokimudu. Pia alisema tourism employs about 200 youths.
Waandaaji walikuwa na Vimeo vyao huenda wajanja wamejipenyeza kwenye kuvisawazisha kisha Malipo ni kumpa Umiss Tz Kama shukurani.
Hoe umeona? Ndio maana kulikuwa na kesi kati ya kusimamisha haya mashindano yule mdosi kaona ujinga kadai chake na kuachana na lundenga.
hakujibu vibaya...ila yy mwenyewe mbaya..macho yake kumchuzi
Hivi miss tanzania huwa wanaangaliwa uzuri au vigezo
kale kashindi ka3 ndio kanadeserve kuwa ka kwanza....wengine ushuzi mtupu..dumb beuties
mtoto wa mbunge kapewa ushindii