Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Huyu Lundenga mbona kama ni mzee ila bado yupo busy na vitoto manake nasikia ili uwe miss tanzania lazima umvulie chupi.....
eeh bana..hiyo kali. kwa hiyo wazazi wako sawa kuepusha binti zao na hiyo mavitu.
 
Wanaoongea kichina, kigerumani, kirusi wao wakivuka boda zao kinawasaidia wapi?

Hao uliowataja wanajiweza kiuchumi.Wewe na kiswahili chako tena kutoka nchi masikini zaidi kitakusaidia ndani tu ya nchi mwisho boda.

Ukivuka ata boda ya Kenya ama Uganda hakikusaidii tena,ata kazi nzuri uwezi pata kama english haipandi kabisa
 
Abbas Zubeir Mtemvu Mbunge wa Temeke na Hashim Lundenga ni washikija sanaaaa
Mjomba Lundenga kaamua kumpa umiss mtoto wa swaiba wake

Alistahili yule wa mwisho kujibu.
 
...mkuu unashangaa wakati tuliwahi kuwa na miss tz muhindi kabsaaa,dadeki chezeya feza weye...

mimi tatizo langu halikuwa uhindi but hakuwa na vigezo vya kutosha kuwa miss kabisa yule Richa
 

Attachments

  • 1413095193268.jpg
    1413095193268.jpg
    64.5 KB · Views: 419
  • 1413095205120.jpg
    1413095205120.jpg
    43.5 KB · Views: 406
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi

Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui

Hoe umeona? Ndio maana kulikuwa na kesi kati ya kusimamisha haya mashindano yule mdosi kaona ujinga kadai chake na kuachana na lundenga.
 
Waandaaji walikuwa na Vimeo vyao huenda wajanja wamejipenyeza kwenye kuvisawazisha kisha Malipo ni kumpa Umiss Tz Kama shukurani.

Lbda MH. Abasi mtenvu kamuahidi lundenga mwanae akichukua taji atapwewa ubunge wa kuteuliwa, maana haya mashindano ndio yanampa kula lundenga na inavyoelekea yanataka kufa anaangalia option nyingine ya maisha.
 
Hoe umeona? Ndio maana kulikuwa na kesi kati ya kusimamisha haya mashindano yule mdosi kaona ujinga kadai chake na kuachana na lundenga.

Mdosi alishaona huko tunakokwenda sio kabisaaa...
Akapeleka na kesi mapema
 
Back
Top Bottom