kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Hata mi naunga mkono hoja miss world wasindikizaji english hajui eti anaongea kifaransa
Kweli wamefulia, yani leo Miss Tanzania halafu watu wengine wala hatuna habari...wakati kipindi kile ilikuwa hatumwi mtu dukani...
Bora hata nilivyolala tu...
Mdosi alishaona huko tunakokwenda sio kabisaaa...
Akapeleka na kesi mapema
Kwakweli sijawahi kupata faida ya haya mashindano kila nikitafakari.
Na redds ndo hawatayadhamini tena. Miss Tanzania rip
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi
Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui
sio wivu hakustahili kushinda .......miss ana mimeno kama alirushiwa akaidaka kwa mdomo
Mdosi alishaona huko tunakokwenda sio kabisaaa...
Akapeleka na kesi mapema
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.
miss anafanana na baba yake...hata mbutananga,anne kilango malecela wangeshinda
he!kumbe miss tz ilikuwa jana!!