Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Kweli wamefulia, yani leo Miss Tanzania halafu watu wengine wala hatuna habari...wakati kipindi kile ilikuwa hatumwi mtu dukani...

Bora hata nilivyolala tu...

Huwezi amini yaani ndo naona nyuzi humu kumbe Jana ilikuwa miss Tz kweli lundenga ana kazi ya ziada kurudisha msisimko wa enzi zile.Zamani miss TZ ilikuwa ni kama sikukuuu.
 
Mtemvu hovyo kabisa, kumbe ndio maana linawapeleka watanzania nje kufanya kazi za ndani. Mh na akili zako unaruhusu mwanao kushiliki mashindano ya kipuuzi. Ifikie sehem tuweke sheria kua majukwaa yeyote nchini yasipoheshimu kiswahili kama lugha mama yafungiwe.
 
Tuwekeeni picha ya mshindi vs huyo wa tatu. Hii ndiyo bongo. Hivi Radhia mhindi yu wapi? mamiss walikuwa kina Hoice Temu, Nancy Sumary,Happinese or Milen Magese. Wengine hakuna lolote na sijui hata kazi yao zaidi ya kuuza K kwa mapedejee.
 
Waliokuwa mlimani city wataelewa Kuwa mshindi alishajulikana kabla hata ya mashindano kuanza
 
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi

Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui

Huyo ndiyo Miss Tz!!! Mbona ana sura kama "NDANDA"???!!!
 
Mwenye namba ya miriam odemba wakuu anitumie au anayejua insta id yake.,! Sichangii chochote hapa ila waerevu watanielewa.,
 
miss anafanana na baba yake...hata mbutananga,anne kilango malecela wangeshinda
 
Dah.! Sina habari kabisa na mashindano haya. Kumbe yalikua jana.

Tuwekeeni picha basi. Mshndi wa kwanza mpaka wa 3.
Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Mdosi alishaona huko tunakokwenda sio kabisaaa...
Akapeleka na kesi mapema

yaani jana nmeangalia hadi nimekereka mvuto hamna
yaani kiukweli ladha imepotea kabisa nakumbuka toka nianze kuangalia kwente tv tisini na nane mpaka jsna lundega jana kachemsha sanAAA
tv yenyewe jana star tv waliboa kwa kweli
 
Yule aliyeforce kuzungumza kifaransa kawa wangapi?
 
Back
Top Bottom