Nihan akijibu vzr anafaa miss tz
Nadhani watampa yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nihan akijibu vzr anafaa miss tz
mtoto ana kaurojo kametulia!!!....
Ya leo kama haijachangamka vle ii miss tanganyika...
Una mfahamu bora amekosa tu
Kweli mkuu yule mtoto Nicole wa shinyanga na yule wa Karatu walistahili top 5, hii wameshapanga wampe tu basi huyo wa Ilala maana kama vile kishaandaliwa.
Kapigwa chinii huyoo wa Jf
Ukiwa na makengeza hufai kua miss eti
picha nitaipataje? pengine naweza shawishika..
Hua anajifanya bonge la diva sasa angeshinda sipati pichaaa bora tu katemwa hhhhjaaa
Wameacha wadada wazuri bwana
Mungu anajua hafu kajifanya under 18
mmh aisee akiona mwenyewe hii post yako lazima atalia sana.
Huyo Joketi anasimama upande ili tuone ---- ama!!
Et ana miaka 20 wakati mkubwa hata mimi ananizidii loo
jamaaani jina lake nani