Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Kweli mkuu yule mtoto Nicole wa shinyanga na yule wa Karatu walistahili top 5, hii wameshapanga wampe tu basi huyo wa Ilala maana kama vile kishaandaliwa.

Umeona eheee hapo uyo wa ilala atachukua
 
Kweli nmeamini startv bure kabisa...
Eti hadi camera inadisplay {bettry near end} kwenye srceen...
Kwi kwiii
 
Back
Top Bottom