Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Sitti Mtemvu kumbe ndiye aliyetumia lugha ambayo haikuwepo kwenye option? Alistahili kuwa disqualified kwa kutumia lugha nje ya kiswahili na kiingereza.Ingekuwaje kama angetumia kichina?
Mshindi alikua keshapangwa unaambiwa lol
Yaawezekana kabisa aiseee!
Miss gani yule jameni?? Khaaa
Kwanza kitendo tu cha kuongeza lugha isohusika ni kigezo tosha cha kumdisqualify....
data nadhani utakua ushaziona pichaDah.! Sina habari kabisa na mashindano haya. Kumbe yalikua jana.
Tuwekeeni picha basi. Mshndi wa kwanza mpaka wa 3.
Heaven on Earth
mmmh kama huyu aiseee
nimeona picha zake insta ana mapaja manene
Nimeamka na kisirani leo vibaya lakini muda huu ndio nimecheka kisirani chote kuleee. Thanks you made my day. HAAAHA UWIII.ETI RAS SIMBARasi Simba anafundisha hii lugha kweli??na mie niende nikasome
Nimeamka na kisirani leo vibaya lakini muda huu ndio nimecheka kisirani chote kuleee. Thanks you made my day. HAAAHA UWIII.ETI RAS SIMBA
Hahaha..am glad umecheka dear...usinunenune mwaya😉
Shoga na we umeona... sa hivi tumedanganywa wazi wazi
Huyu inabidi ajitahidi sana walau miss world ikifika aonekanepo....maana dah!!! Muonekano wake sio wa kimiss kabisa!
nimeenda blog ya mange kuna dada kamaliiza naye form 6 2007 huko khabujji rwanda
sasa piga hesabu kaenda marekani kapiga na degree ndo karudi
ila hapo katikati alifeli sana
duuu kikongwe
nimeenda blog ya mange kuna dada kamaliiza naye form 6 2007 huko khabujji rwanda
sasa piga hesabu kaenda marekani kapiga na degree ndo karudi
ila hapo katikati alifeli sana
duuu kikongwe