Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Huyo Sitti Mtemvu kumbe ndiye aliyetumia lugha ambayo haikuwepo kwenye option? Alistahili kuwa disqualified kwa kutumia lugha nje ya kiswahili na kiingereza.Ingekuwaje kama angetumia kichina?

Tanzania jamani hivi hii nchi mbona inavituko -------.yaan sasa imefikia mahali tuna lugha nne za taifa yaani kiingereza kiswahili kifaransa na kingoni....wakabadili basi Wikipedia waseme tunaongea na kifaransa...pyuuuu.yaani wanatufanya wananchi wajinga sana.sasa kigezo gani kilichowafanya walete kifaransa wakati hata kiingereza chenyewe hatujui wala kiswahili chenyewe. bado.
 
Rasi Simba anafundisha hii lugha kweli??na mie niende nikasome
Nimeamka na kisirani leo vibaya lakini muda huu ndio nimecheka kisirani chote kuleee. Thanks you made my day. HAAAHA UWIII.ETI RAS SIMBA
 
Nimeamka na kisirani leo vibaya lakini muda huu ndio nimecheka kisirani chote kuleee. Thanks you made my day. HAAAHA UWIII.ETI RAS SIMBA

Hahaha..am glad umecheka dear...usinunenune mwaya😉
 
10420308_10152724737436210_1091632738273189447_n.jpgmiss TZ akiwa ufukweni marekani
 
Hahaha..am glad umecheka dear...usinunenune mwaya😉

Asante dear, stress tu za haya malimwengu. sinuni tena. Ras simba namkubali wiki mbili unatiririka luga ya malkia!, sijaona mwalimu ila Ras mumy.
 
Huyu inabidi ajitahidi sana walau miss world ikifika aonekanepo....maana dah!!! Muonekano wake sio wa kimiss kabisa!

nimeenda blog ya mange kuna dada kamaliiza naye form 6 2007 huko khabujji rwanda

sasa piga hesabu kaenda marekani kapiga na degree ndo karudi
ila hapo katikati alifeli sana
duuu kikongwe
 
nimeenda blog ya mange kuna dada kamaliiza naye form 6 2007 huko khabujji rwanda

sasa piga hesabu kaenda marekani kapiga na degree ndo karudi
ila hapo katikati alifeli sana
duuu kikongwe

Kule usiamini kila kitu wengine waongo tu.
Yes yule anaweza kuwa mkubwa lakini sio kiivo!
 
nimeenda blog ya mange kuna dada kamaliiza naye form 6 2007 huko khabujji rwanda

sasa piga hesabu kaenda marekani kapiga na degree ndo karudi
ila hapo katikati alifeli sana
duuu kikongwe

Yule miss ni mtu mzima sana aisee she is above 26 hiyo kadaganyia tu vile vile hakuwa na vigezo vya kuwa miss kama kaenda na Usa lugha ina mpiga chenga mbona majanga
 
Back
Top Bottom