Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Huyo ni happiness watimanywa, ndio anawakilisha miss world mwaka huu though alishinda taji la miss TZ mwaka jana. Bibi bomba yeye kutuwakilisha miss world ni mwaka kesho November, Ila hataenda kutuwakilisha mwaka huu tu ana miaka 25, mwaka kesho atakuwa na miaka 26 ni kitu kusichowezekana kabisa
kumbe wa mwaka Jana anawakilisha mwaka huu
hivi haya mashindano yamepoteza mvuto kwangu tu,ama?
Picha tafadhali
Nilimpenda,she is so bright anajua nini anafanya na aongee nini...jana Salama na ujanja wake wote uligoma kwa yule mrembo maana alimuuliza maswali ya mitego kama kawaida yake lakini yeye akajibu anachokijua tu!
Ana documentary yake ya kitabu nimeipenda...akijitahidi anaweza kutuwakilisha vyema kama/zaidi ya Nancy Sumari
Huyo dada niliwahi kumuona zamani kwenye kipindi cha skonga, yuko vizuri mno upstairs.
Dah ila jana tanesco kama kawaida wakafanya yao......jamani mweeeh!!! Ndo nikapitwa hivo sikuiona interview yake
Huyo dada niliwahi kumuona zamani kwenye kipindi cha skonga, yuko vizuri mno upstairs.
Dah ila jana tanesco kama kawaida wakafanya yao......jamani mweeeh!!! Ndo nikapitwa hivo sikuiona interview yake
Shoga si mpaka tanesco watuonee huruma? LolHebu jaribu kuangalia mida hii hua wanarudia...
bora hukuona tu. Anaongea VIBAYA. ALINIKERA SANA.
SIJUI KWANINI KUNA BAADHI YA WATU WANDHANI NI UJANJA, KU ACT HAWAJUI KISWAHIL.
Shoga si mpaka tanesco watuonee huruma? Lol