Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
kwani miss Tanganyika si ni yule bibi bomba,sasa mbona Jana kahojiwa mwingine na amesema a naenda,Miss world?
kwani Sitti wamempora chance?
sikuangalia sana kipindi kwani lugha aliyokua anaongea Nina aleji nayo!
mwenye ufahamu wa hili anijuze
kwani Sitti wamempora chance?
sikuangalia sana kipindi kwani lugha aliyokua anaongea Nina aleji nayo!
mwenye ufahamu wa hili anijuze