Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,068
Hii habari mtoa uzi ameikopi insta ambapo picha zilikuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Irudishweee irudishweeeeeHawa mamiss wembamba tushawachoka tunataka waturudishie miss bantu.
Kachukue lile toto tinginya la marehemu pombe, lipo pale DodomaHawa mamiss wembamba tushawachoka tunataka waturudishie miss bantu.
Uzuri ni msomiMrembo kutoka Ardhi University kakataa kutoa tunda, kanyang'wanya taji lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Miss kilaza kweli dah anabebaje mimba Sasa golden chance never come twice Tena mwanafunzi wa chuo kikuu hajui p2Hichi kimiss kilibeba mimba kwahyo mlitaka aende na mtumbo wake miss world huko..Jinga kabisa hili.
Mbona waja wasema ana mimba ya kukaribia kuzaa au Wana mchafua?Mrembo kutoka Ardhi University kakataa kutoa tunda, kanyang'wanya taji lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii.Huyu Miss kilaza kweli dah anabebaje mimba Sasa golden chance never come twice Tena mwanafunzi wa chuo kikuu hajui p2
Huyu Miss kilaza kweli dah anabebaje mimba Sasa golden chance never come twice Tena mwanafunzi wa chuo kikuu hajui p2
Kwanini Basila asiseme miss kabeba mimba matokeo Yake anatoa habari nusu ya kutengeneza speculation na kuishusha hadhi miss TANZANIA kwa kila mtu kuspeculate sababu hizo za utovu wa nidhamu.Hichi kimiss kilibeba mimba kwahyo mlitaka aende na mtumbo wake miss world huko..Jinga kabisa hili.
AiseeeNakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii..
Waweke wazi taratibu walizotumia mpaka kufikia hapo na sio statement za jujuu tu, hawa watu walishaonyesha walakini toka waanze kuwapa washindi gari used choka mbaya kama zawadi!!
Aliwanyima nini ndugu? Tunaomba udadavue japo kidogo.Isije kua aliwanyima wakaamua kumtosa
No Diplomasi ni muhimu katika masuala hayaKwanini Basila asiseme miss kabeba mimba matokeo Yake anatoa habari nusu ya kutengeneza speculation na kuishusha hadhi miss TANZANIA kwa kila mtu kuspeculate sababu hizo za utovu wa nidhamu.