Miss Tanzania avuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World kutokana na utovu wa Nidhamu

Miss Tanzania avuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World kutokana na utovu wa Nidhamu

Huyo ni mkiukaji wa haki za kibinaadamu ndo maana hafai kuliwakilisha taifa tumejifunza kwa mondi
 
Mrembo kutoka Ardhi University kakataa kutoa tunda, kanyang'wanya taji lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona waja wasema ana mimba ya kukaribia kuzaa au Wana mchafua?
 
Huyu Miss kilaza kweli dah anabebaje mimba Sasa golden chance never come twice Tena mwanafunzi wa chuo kikuu hajui p2
Nakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii.
 
Huyu Miss kilaza kweli dah anabebaje mimba Sasa golden chance never come twice Tena mwanafunzi wa chuo kikuu hajui p2

Wadada mnavyopenda hela,,,Kuna mimba huwa hazimezewi p2.. ni sawa na umshauri k lyn ameze p2 kuzuia mimba ya mzee mengi
 
Hichi kimiss kilibeba mimba kwahyo mlitaka aende na mtumbo wake miss world huko..Jinga kabisa hili.
Kwanini Basila asiseme miss kabeba mimba matokeo Yake anatoa habari nusu ya kutengeneza speculation na kuishusha hadhi miss TANZANIA kwa kila mtu kuspeculate sababu hizo za utovu wa nidhamu.
 
Nakwambia wamemjaza mimba na tena alikua ni mume wa wenyewe..nyakunyaku mkubwa adi akashtakiwa huko kwenye hiyo miss Tz yao..Sijui atakua ameflash au anayo bado..jinga sana hili limetutia aibu hata matumizi ya ndom pia hajuwii..
Aiseee
 
Kwahiyo shindano lenyewe siyo utomvu wa nidhamu!!!? Dunia simama nishuke!
 
Hivi mbona hakunaga Miss mwenye inye?
Huwa ni flat screen
 
Naam waweke hadharani utovu gani wa nidhamu amefanya?

Waweke wazi taratibu walizotumia mpaka kufikia hapo na sio statement za jujuu tu, hawa watu walishaonyesha walakini toka waanze kuwapa washindi gari used choka mbaya kama zawadi!!
 
Kwanini Basila asiseme miss kabeba mimba matokeo Yake anatoa habari nusu ya kutengeneza speculation na kuishusha hadhi miss TANZANIA kwa kila mtu kuspeculate sababu hizo za utovu wa nidhamu.
No Diplomasi ni muhimu katika masuala haya
 
Huyo alikataa kuvua chupi ndio maana ya utovu wa nidhamu uliomaanisha hapo.
 
Back
Top Bottom