Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
Kumekucha sasa jamii forumHuyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
Hio F ni initial ya femaleAnaitwa Diana Edward Lukumay hapo kwenye matokeo ni Diana F Lukumay
Naona kama dalili hzo kwakwelKwa hiyo ya Bi Siti yamejirudia.?
Hiyo F ni gender na wewe acha kukurupuka
Ukweli nini? Sema kidogo basi ...khaaaUkweli mtupu
Kabla ya kucheka au?Watu au wenyeji wa Arusha kifupi Arusha inamiliki wasichana warembo
Wewe meno ya mrembo yanakusaidia nini yawe yameungua au hayajaunguaKabla ya kucheka au?
Weka picha yako mkitambi wa biaMiss Tanzania kama MIss Mabwepande
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili shindano lingifutwa tu maana niaibu kubwa kama haya niya kweli
Zoezi la vyeki feki liendelee shenzii sana
Ngoja waje wenye ubuyu wenyewe
Duuuh..kumbe zoez la uhakik WA vyeti n muhm kias hiki? Aiseee