Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata
d9e0a71d362eba1eaca33aaf49258b22.jpg

Anaitwa Diana Edward Lukumay hapo kwenye matokeo ni Diana F Lukumay
 
Kama ni kweli bc waandaaji wanapaswa KUWAJIBISHWA kwa kiasi kikubwa! Tena adhabu yao iwe YAAJABU tena YAKUTISHA!
 
MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
Darasa la kwanza akiwa na miaka 2.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio shabiki kihivyo wa haya mambo ya urembo... napenda nichukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili...
 
Back
Top Bottom