Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Huyo miss tanzania avuliwe taji kwa kuwadanganya watanzania amesema ana degree na ana miaka 18 sasa naomba kuuliza kwa matokeo haya ni degree ambayo amepata![]()
Anaitwa Diana Edward Lukumay hapo kwenye matokeo ni Diana F Lukumay