Tuacheni ushamba jamani hasa wewe unayelalama na kuwasema wasukuma swala La setting taa ufundi na mengine ni ya team ya maandalizi na warusha matangazo then kumbuka hii ni kwa Mara ya 1 so mapungufu yote yatafanyiwa kazi na watazdhidi kuboresha zaidi tuwape pongezi pia suala La MCs Soo vema kuwatolea maneno makali eti wanasura ngumu kama ngozi ya ugoko loool mbona unawivu hivyo shost usijaribu kukosoa uumbaji Wa Mungu kwa maana we unajiona mzuri Mungu akiamua anaweza kukuubguza USO wako moto au kupata ajari mbaya ukatoka hata pua so acha kujishaua bi shosti.mwisho niseme mm Sio msukuma Mwanza ni jiji wanaishi makabila mixer kama ilivyo dar yetu hata mm mngoni ninaishi lakini asili ya dar ni wazaramo