Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
aya kojoa ukalalehili ndo shindano bora kabisa la miss Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aya kojoa ukalalehili ndo shindano bora kabisa la miss Tanzania
Usinambie[emoji15][emoji15][emoji15]hela isiyo na jasho haina uchungu ametoka china alikuwa na jamaa wa gsm so ana hela ya kutosha
mm nikajua presha imeshuka nikashangaa sioni akianguka
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kingereza najua vzuri tu usivo na akili unafikiri kingereza ni big issue sana hyo ni lugha ka ilivo kiswahili.teh! naona umeanza kuwaiga mamiss kuongea kidhungu, teh! wachaga bana!
Kaimba muda mrefu sana.... Ndiye msanii wangu piaBella hukusanya mno kwa Tanzania ndo msanii ninayemkubali na anafaa kualikwa kwenye events za heshima
Umemleta bro Magu tenatumvumilie tu
nipo mpaka niibe.muda wa magu
Huyu mwenyewe ningekuwa ukumbini ningemtuzaKaimba muda mrefu sana.... Ndiye msanii wangu pia
Star Tv ni aibu tupu....
hahaha utani wa.ngumi huuteh! naona umeanza kuwaiga mamiss kuongea kidhungu, teh! wachaga bana!
Ameokoa sabbu ya umaarufu wke. Ila kikwel ata kale kadada cha red carpet cheny mdomo wa Kasuku kanamshnda UmcYani tena Joketi ndo kaokoa Jahaz
Kabisa yani anastahiliHuyu mwenyewe ningekuwa ukumbini ningemtuza
Nahisi Jokate hakuandaliwa kuwa MC ila ameshtukizwa kuipa nguvu show nzima ya miss Tz ndo maana ameshindwa kubadili mavaziHivi Jokate kakosa gauni jingine abadilishe hilo jamani?
Sema mpangilio haukua mzuri Joketi huwa yuko vzuri always.Ameokoa sabbu ya umaarufu wke. Ila kikwel ata kale kadada cha red carpet cheny mdomo wa Kasuku kanamshnda Umc
Aaaaah umemuona Flora? Kawapodoa wenzke afu yey katokelezea vzrmi.nilifumba.macho mwanawane
Hata cjawashika vibaya penye kitu siuona ona tu jamaniAiseeeh mbn unawashka pabaya ivo? Hahahahaha!!!