Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

We mpuuzi unajifanya unajua sana. Nani kakuambia kuna wanyambo Wa Bukoba?
 
Musoma unamaanisha wilaya? Kama ni makabila ya mkoa wa Mara asili zao za aina 2 wapo walioyoka Ethiopia na Sudan kama wakurya, waikoma, wanata, wajaruo, wazanaki nk, wapo waliotoka Kameroon wanasili moja na wanyamkole hawa ni wajita, waruli nk.
 
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.

Uchunguzi uanze upya
Mi nadhani Tz ni nchi mojawapo ambayo wananchi wake ni wapika MAJUNGU sana halafu WAVIVU
 
Chineke sasa ninaamini mbali na sitti kuwa kikongwe kuna watu walitumwa kuvuruga hadi Jihan apite. Acheni kutuvuruga
 
Kweli kabisa.. ni vigumu sana kuwatofautisha wahaya wa karagwe na wanyarwanda. wanafanana sana.

Yaani wewe ni juha kabisa unajiandikia ujinga wako na unataka na sisi tukubaliane nao! Sikujua na jadili na mtu was aina gani. Karagwe kuna Wahaya na wanafanana na Wanyarwanda?? Mnafunzwa historia na wajinga gani?!
 
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.

Uchunguzi uanze upya

Kikwete mwenyewe mrundi na juzi kawapa warundi wenzie uraia mbona hamsemi acheni ukuda.
 
Hawa wanaochimba hayo hawajawahi kuishi mipakani.
 
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.

Uchunguzi uanze upya

Mimi nimeanza kuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…