Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe
hutaki acha kama ilivyo
Kamazima ni jina la kinyarwanda kabisa
Kumbuka kuna aina3 za uraia, wakuzaliwa,wakurithi na wakuandikisha. So hapo hamna tatizo
Hicho ni kihaya bhana acha uzushi, maana yake ni "ka ukweli" hyo ka inawakilisha katoto.
Acheni upukunyaku,,,,meja jenerali Kamazima na ambaye amekuwa mkurugenzi wa PCCB kama ndiye unayemzungumzia ni mtz halali kwao na kwake ni Maruku...tafuta jingine we kibogoyo.
Tuwekeeni tujiridhishe kabla atujawawekea humu ka kama yupohuku akimwage hadharani
Watu wanaongea majina wakati hawajuhi histori ya majina,mfano jina Omondi liko Tz,Kenya,Uganda mpaka Nigeria liko hilo jina ..Mboya liko Tz na Kenya rejea yule jamaa Thom Mboya,Mwesigwa na Kiiza lipo Tz,Uganda mpaka Rwanda ..hapa napo wanataka kuanza kudeal na majina? huyo binti kama amekidhi vigezo mwacheni ila jina kisiwe kisingizio kabisa,kule nyumbani kuna mzee anaitwa Wolfghang sasa kama ndo imetokea kwake mtamwambia aende Ujerumani eti kisa jina limekaa kijerumani hapo sijaelewa,vipi na akina Louis na Stewart nao waende wapi?