Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Acheni upukunyaku,,,,meja jenerali Kamazima na ambaye amekuwa mkurugenzi wa PCCB kama ndiye unayemzungumzia ni mtz halali kwao na kwake ni Maruku...tafuta jingine we kibogoyo.
 
Huyo general ni kachero wa rwanda aliyepandikizwa na kagame kuja kuidukua tz! mengine utajua mwenyewe

hutaki acha kama ilivyo

Acha uongo wew kuongea mambo usiyoyajua, unarwanda unatoka wapi kwa kamazima wakati babu wa jenerali kamazima alikuwa chifu wa Kyamtwala huko Bukoba ambapo na mm ninayeongea ni mmojawapo wa ukoo huo wa kichifu, acheni uzushi bhana.
 
Kumbuka kuna aina3 za uraia, wakuzaliwa,wakurithi na wakuandikisha. So hapo hamna tatizo
 
Kumbuka kuna aina3 za uraia, wakuzaliwa,wakurithi na wakuandikisha. So hapo hamna tatizo

..na wa kusingiziwa, na wa kujisingizia na wa kuzawadiwa! Kwa Tanzania aina zinaweza kuwa nyingi mradi tu kuwe na maslahi ya mzito fulani!
 
Hivi tatizo ni nini ama kwa vile Tz haina uhusiano mzuri basi kila kitu kibaya chake,mbona tumekuwa wajinga hivi ..sasa ambaye anajihisi yeye ni mtanzania asiria basi awe wa kwanza kuwaponda wengine mawe,yaani ukiacha mimi na wewe wazazi wetu walio wengi si wazawa wa ardhi ya Tanganyika,wengi walikutwa saa 6 kamili 61 basi wakapewa heshima ya uraia sasa kama mnawakataa leo tutaanza pale Kigoma,Rukwa,Mbeya,Ruvuma,Mtwara twende mpaka Tanga,Kilm,Arusha mpaka Mara ili tuone ni wangapi babu zao ni wazawa wa Tanganyika then tuanze kutajana hapa
 
Acheni upukunyaku,,,,meja jenerali Kamazima na ambaye amekuwa mkurugenzi wa PCCB kama ndiye unayemzungumzia ni mtz halali kwao na kwake ni Maruku...tafuta jingine we kibogoyo.

Watu wanaongea majina wakati hawajuhi histori ya majina,mfano jina Omondi liko Tz,Kenya,Uganda mpaka Nigeria liko hilo jina ..Mboya liko Tz na Kenya rejea yule jamaa Thom Mboya,Mwesigwa na Kiiza lipo Tz,Uganda mpaka Rwanda ..hapa napo wanataka kuanza kudeal na majina? huyo binti kama amekidhi vigezo mwacheni ila jina kisiwe kisingizio kabisa,kule nyumbani kuna mzee anaitwa Wolfghang sasa kama ndo imetokea kwake mtamwambia aende Ujerumani eti kisa jina limekaa kijerumani hapo sijaelewa,vipi na akina Louis na Stewart nao waende wapi?
 
Tuwekeeni tujiridhishe kabla atujawawekea humu ka kama yupohuku akimwage hadharani
 
How come vimezaliwa vingi vya utamu
 
Mshafungua ukurasa mpya wa miss tz
Jamani embu tujadilini mambo ya msingi kama kashfa ya iptl+escrow ambapo mabilioni ya nchi yametafutwa zaidi ya 200bil wakati wagonjwa wakansa ocean road wanaambiwa wajinunulie dawa but wanashindwa kuafod wanafariki dunia,hospital kuu ya taifa muhimbili cku nendeni wodini mkaone wagonjwa wavojazana chini kwenye vipande vya magodoro yalochakaa na net mbovu za mbu,CIT Scan ipo moja tuu nayo mizinguo coz inabuma kila mara,JE mpiga kura mtanzania akimbilie wapi jamani
Tukirudi kwenye elimu serikali imetenga only 1bil kwa ununuzi wa vifaa vya maabara nchi nzima wakati vifaa vya maabara moja vinagharimu zaidi ya milioni 100, pia kuna wanafunzi wamekosa mikopo ya kujiunga na vyuo vikuu na hawana uwezo wakujilipia,wanafunzi wanakaa chini mashuleni wakati nchi inamisitu na mafundi kibao wa seremala.
Rasilimali za nchi mfano meno ya tembo yanaibwa mchana kweupeeeeeee,twiga wanasafirishwa kiurahisi kama simu za mkononi,madini yanatoroshwa kwenda nje wananchi wanakufa maskini,baharini watu wanavua samaki wanasepa nao nje wakati ndugu zetu wakanda ya ziwa wananyanyaswa kwa uvuvi mdogo mdogo wakujipatia ridhiki,misitu inavunwa na kusafirishwa magogo nje huku watoto shule wanakaa chini.
Nishati ya umeme bei juu na umeme mgawo kama kawaida lkn tunapgwa sound tuu
Jamani tusisahaulishwe kwa kujadili mambo ya mpito ili tusahau mambo ya msingi...tuyazungumze yanayohusu taifa kwa ujumla
Simpondi aloleta uzi ila namshukuru coz tumepata pakuanzia kujadili taifa.
Karibuni
 
Umeooona eeehhhh Hashim take serious bana turidhisheni nacheti cha huyu mpya kama uliweza kulishwa kasa na ukamtetea miss tz wangapi wwamekudanganya ,,nasasa tunadili nakila miss mnaemchagua ujinga atutaki kula kuleni miakayao tuachieni jf
 
Kisewe umeshindwa Richmond

A ,,escrow utamjadilia wapi...
Lohhh njoo tu escape one ule na wewe mema ya nchi so far tunakaufunguzi cha chopa ya gwajima hapa unawezakuanzia hapa
 
mkichunguzana mtakujarudishana wote.....
mimi huwa sipendi hiyo lugha ya kusema huyu siyo raia au hyu siyo mtanzania
 
Watu wanaongea majina wakati hawajuhi histori ya majina,mfano jina Omondi liko Tz,Kenya,Uganda mpaka Nigeria liko hilo jina ..Mboya liko Tz na Kenya rejea yule jamaa Thom Mboya,Mwesigwa na Kiiza lipo Tz,Uganda mpaka Rwanda ..hapa napo wanataka kuanza kudeal na majina? huyo binti kama amekidhi vigezo mwacheni ila jina kisiwe kisingizio kabisa,kule nyumbani kuna mzee anaitwa Wolfghang sasa kama ndo imetokea kwake mtamwambia aende Ujerumani eti kisa jina limekaa kijerumani hapo sijaelewa,vipi na akina Louis na Stewart nao waende wapi?

kweli kabisa mkuu, hata joseph mungai ana ndugu zake kenya wakina mungai ni wakenya.
 
Ma'nina zenu haya yanatusaidia nini kama Taifa? Hata tusipokuwa na miss tunapoteza nini? Kwenda zenu huko mnashadadia mambo ya kipu.mba.vu mnaacha yenye tija!!
 
Jamani zawadi itakuwaje?? Je miss mpya ataipata?? Au sitti atarudisha
 
Back
Top Bottom