Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #61
kule walitiririka kwasababu alilike comment ya mbuta nanga kwasababu mbuta alikua na bifu na mange.lakini hatujui kama ni kweli.huenda ni chuki binafsi.ukitofautiana tu na mange anakuandika mule na wale wachangiaji wanatiririka which to me is so awkward.
inategemeana unamaanisha ni unaposema huoni wanachofanya... kwanza, wote hao maisha yao binafsi yanaenda vema... kama ni kwenye masuala ya kijamii, Kiwia na Faraja wote hao wana-deal na community orgs; nisiye na uhakika kuhusu nini anafanya ni Nancy... Huyu Hoyce mara kibao nilikuwa nakutana nae pale Standard Chartered HQ kwahiyo anaweza asiwe na za kujenga ghorofa lakini pia si wa hadi ajidhalilishe ili apate mahitaji yake muhimu kama mrembo.mi labda niko tofauti...mbona kama sioni wanachofanya?...labda hoyce kidogo lakini wengine sijajua nahitaji kueleweshwa.
Sure, ni wasomi lakini Faraja nilimfanya exceptional to others coz' hata kwenye matokeo yake ya kidato cha sita, alipiga paper vibaya sana... kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani alinyuka point sita!Nimeangalia profile za hawa kamiss wengi wao ni wasomi ndo maana hata utirio unashuka na kazi wamepiga. Happy amefreeze masomo.
Mkuu unapenda ubuyu wewe haha basi tunaacha hadi next time
Wala alimchuna tu kipanya. Alafu wanadai alikuwa anachepuka Sana ndo maana ndoa ikawa hamna
Sure, ni wasomi lakini Faraja nilimfanya exceptional to others coz' hata kwenye matokeo yake ya kidato cha sita, alipiga paper vibaya sana... kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani alinyuka point sita!
Hapo ndipo ninapomtofautisha na wengine... Faraja kichwa chake darasani kipo njema sana na wala sitashangaa nikisikia hayo uliyosema ingawaje nilikuwa bado sijayapata.na si ya kidato cha sita tu,hata huko juzi alivyograduate masters nimeona kwa page yake yeye ndiye amepiga first class tena yenye GPA kubwa kabisa
Haha hata sikuwaza kwenye Gari. Nargis bwana wanadai wenyewe ni miss alofulia kuliko wote kwa sasa kiasi kwamba yuko tandale uzuri full uswazi
E bhana eh... halafu sijamsikia kabisa miaka ya hivi karibuni! mara yangu ya mwisho kumsikia ni wakati anataka kuolewa... na wala sifahamu ndoa yenyewe kama ilifungwa, au lah!
Mmh lakini Nargis yuko kawaida tu na maisha yake.. yuko CRDB muda tu hajiusishi tu na media sana sikuiz
Nasikia mpaka Liumba?
Aliolewa ana mtoto nasasa yuko CRDB kitengo cha Bima
Na anakiduka chake mikocheni
pale asee hakuna chai kwa kifupi. happy alikuwa bright ila naye mle mle chai nyingi kuliko matendo. eti nimeongoza class /international cambridge alafu ukafanya nini in relation to ur kuongozaring hehe
Hahahaa ni shida ngoja nijipange pange mwaka ujao nikashiriki