Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #61
kule walitiririka kwasababu alilike comment ya mbuta nanga kwasababu mbuta alikua na bifu na mange.lakini hatujui kama ni kweli.huenda ni chuki binafsi.ukitofautiana tu na mange anakuandika mule na wale wachangiaji wanatiririka which to me is so awkward.
Kuhusu nyumba chafu ni kweli nimeona Instagram picha zake. Nyumba haina hadhi ya miss, mindoo ya maji michafu, viti ni old school.