tatizo lake alipoenda huyua akaanza kutatua tatizo la kila mwanakijiji kule unategemea nini? huyu anakwambia kitochi, huyu anataka kiti moto, huyu anataka 'kubadili kinywaji' anywe Bia nk
bado hujakutana na anayekwambia hajala nyama toka mwaka uanze!
Hahaha! Kaka kuna kabia kanaitwa eagle! Kanauzwa 700. Ukinunua kakreti kamoja kijiji kizima unakuwa gumzo. Sasa ukitaka misifa unakopa nauli ya kurudi mujini! Tatizo nauli waliyonichangia wapwa nguli anaifanyia ujenzi bagamoyo rodi!
ha ha ha ha!niliona roli la mchanga linakatiza maeneoHahaha! Kaka kuna kabia kanaitwa eagle! Kanauzwa 700. Ukinunua kakreti kamoja kijiji kizima unakuwa gumzo. Sasa ukitaka misifa unakopa nauli ya kurudi mujini! Tatizo nauli waliyonichangia wapwa nguli anaifanyia ujenzi bagamoyo rodi!
Ha ha ha ha, siunajua tunaangalia maslahi ya home-tegeta kwanza? Rombo tumeshamaliza kujenga. kumbuka starlet inafika mpaka Nairobi.
ha ha ha ha!niliona roli la mchanga linakatiza maeneo
Ndiyo yamekuwa hayo tena? Basi bora tubadilishe jina la forum hii na kuiita Wachagga Forum. Ukabila ukabila kila kukicha! agggggghhhhhh! 🙁
Nipo mkuu!katavi alisema anaenda ufipa hajarudi tu?
Nipo mkuu!
pale naona panalipa!....yule matron atajadiliwa upyaLOL! Kamchango kananunua mchanga? Afadhali, nlifikiri kokoto za zero pub? btw jana ulikumbuka kuchukua namba za matron na Halima? Uncle wa Kaizer atakuwa na UGENI wa kudumu kipindi hiki
waaaaooo welcome back, nimekugongea umeiona?
pale naona panalipa!....yule matron atajadiliwa upya
duh, namuonea huruma huyu shemeji atakayemuoa.
Chrispin, masanilo, katavi, iteitei lya kite, carmel, bht, where are you guys?
Naniliu, nipo.....senks kwa kunikumbuka
Afu na wewe? Huko ulikokuwa hata netiweki hamna au? Shikamoo mama Maria.
modem ya zantel haifiki kule afu blakiberi ilinyewa mvua vibaya... so no mawasililiano
Asa si ungeni-PM nifanye vitu vyangu? We nawe!!!!!!!!!!!
aahhh ile PM yako ilinitisha nikaogopa kuwa victim wa mvua za moshi haaaa lol!!! we balaaaa ila simwambii sista wala!!!! its btn us!!