Heeeee! Hata wewe shemeji? mie chichemi.
Uchokozi huo,si nimemwambia shemeji yangu?
sasa mi si nataka nipate kaumbea kiduchu jamani? LOL!
ulivonaswa kwenye malove mazito je!!! hata kujinasua huwezi tangu krismasi hata leo .....si vekesheni ya aina yake hiyo B!!!
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.
Umepatia kabisa B! Nipe mawazo...ni invite nione nitatokaje humuπ
Nini tena na wewe? Ushasahau ule msemo: UKIPENDA BOGA........?
...mama,
hii naomba uiende tu!ukisoma SONGS OF LAWINO wanasema wenyewe ''THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT BE UPROOTED''
zidumu mila zetu za ki-afrika!
nani kasema upende na maua weweeeee??? acha hizo labda kizuri ule na nduguyo anagalau....Nini tena na wewe? Ushasahau ule msemo: UKIPENDA BOGA........?
niligundua hilo jana mpwa khaaaaaaaa!!! ulei huu kazi kwelikweli Kaizer unakili sailently B.
Kama maboga yenyewe ndo mabaya hivi.......
Sizitaki mbichi hizi...........
Halafu swali langu hujajibu.Nimejipendekeza kwa PM,na sms.Lakini umeniweka kapuni.Ndo nini? au nijiandae kuvuliwa pendo? mwka mpya huo unakuja!Afu wewe! Kichwa chako kikoje? Kina kumbukumbu za ajabu! Mi napenda zaidi Song of Ocol!
He! Tayari? Mwaka mpya mbona bado jamani? Tutaharibiana mikesha. Bado masaa kadhaa ifike tarehe moja ujue! Mbichi saa nyingie huwaga tamu kuliko mbivu! Hahaha! Mchumba bana!
nani kasema upende na maua weweeeee??? acha hizo labda kizuri ule na nduguyo anagalau....
Chrispin, masanilo, katavi, iteitei lya kite, carmel, bht, where are you guys?
nilimsahau klorokwin where are you bwana?
ππApo juu mtu na mcumba hebu acheni ligi! Mada inasemaje?
kwa hiyo unamnyemelea bht? weka wazi tuelewe.Ili tupitishe muswada hapahapa.Hebu mPM ZD hii post yako! Nimeipenda, nataka naye aipende. We mtoto wewe! Hahaha!
kwa hiyo unamnyemelea bht? weka wazi tuelewe.Ili tupitishe muswada hapahapa.
nijibu swali langu kwanza.Mie sina wasiwasi na bht nadhani unanifahamu vizuri kuliko mtu mwingine yeyoteHahahaha! LOL! Ngoja nijichekee ninenepe mie!
nijibu swali langu kwanza.Mie sina wasiwasi na bht nadhani unanifahamu vizuri kuliko mtu mwingine yeyote
.......ππHahahaha! LOL! Ngoja nijichekee ninenepe mie!
Afu na wewe, hizi karamu zako za kushtukizana inakuwaje tena! Sema mapema leo ankal anatembelewa au inakuwaje? Siyo nshatia timu zero we ndo unanistua. LOL!