Missing you

Missing you

ulivonaswa kwenye malove mazito je!!! hata kujinasua huwezi tangu krismasi hata leo .....si vekesheni ya aina yake hiyo B!!!

Umepatia kabisa B! Nipe mawazo...ni invite nione nitatokaje humu🙄
 
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.

Nini tena na wewe? Ushasahau ule msemo: UKIPENDA BOGA........?
 
...mama,
hii naomba uiende tu!ukisoma SONGS OF LAWINO wanasema wenyewe ''THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT BE UPROOTED''

zidumu mila zetu za ki-afrika!

Afu wewe! Kichwa chako kikoje? Kina kumbukumbu za ajabu! Mi napenda zaidi Song of Ocol!
 
niligundua hilo jana mpwa khaaaaaaaa!!! ulei huu kazi kwelikweli Kaizer unakili sailently B.

heheheh bht mbona mi nimekuwa nikipita huku na huko, watu wote wa mataifa wameniona na kunisikia, huwa sifanyi kitu silently hata kama ni kukill B! LOL
 
Kama maboga yenyewe ndo mabaya hivi.......
Sizitaki mbichi hizi...........

He! Tayari? Mwaka mpya mbona bado jamani? Tutaharibiana mikesha. Bado masaa kadhaa ifike tarehe moja ujue! Mbichi saa nyingie huwaga tamu kuliko mbivu! Hahaha! Mchumba bana!
 
Afu wewe! Kichwa chako kikoje? Kina kumbukumbu za ajabu! Mi napenda zaidi Song of Ocol!
Halafu swali langu hujajibu.Nimejipendekeza kwa PM,na sms.Lakini umeniweka kapuni.Ndo nini? au nijiandae kuvuliwa pendo? mwka mpya huo unakuja!
 
He! Tayari? Mwaka mpya mbona bado jamani? Tutaharibiana mikesha. Bado masaa kadhaa ifike tarehe moja ujue! Mbichi saa nyingie huwaga tamu kuliko mbivu! Hahaha! Mchumba bana!

espeshali kipindi fulani hivi!!!!!
 
nani kasema upende na maua weweeeee??? acha hizo labda kizuri ule na nduguyo anagalau....

Hebu mPM ZD hii post yako! Nimeipenda, nataka naye aipende. We mtoto wewe! Hahaha!
 
Chrispin, masanilo, katavi, iteitei lya kite, carmel, bht, where are you guys?

nilimsahau klorokwin where are you bwana?

alipigwa marufuku b4 even SP akarudi kunyemela sasa naona kakamatwa tena...

yeah nimemisi kile kiblurey chake kwa kweli....klorokwin whereever you are, mis u big time!!!!!
 
😀😀Apo juu mtu na mcumba hebu acheni ligi! Mada inasemaje?

Afu na wewe, hizi karamu zako za kushtukizana inakuwaje tena! Sema mapema leo ankal anatembelewa au inakuwaje? Siyo nshatia timu zero we ndo unanistua. LOL!
 
Afu na wewe, hizi karamu zako za kushtukizana inakuwaje tena! Sema mapema leo ankal anatembelewa au inakuwaje? Siyo nshatia timu zero we ndo unanistua. LOL!

hehehe...leo mkesha tunakesha na Yesu kanisani! Mpwa stuka apo! hehehehe
 
Back
Top Bottom